Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

RAIS JK NA MAKAMU WA RAIS DR. BILAL LIVE WALIPOWATEMBELEA MAWAZIRI WAWILI WALIOLAZWA MUHIMBILI LEO LIVE!!

$
0
0


Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu msaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Januari 15 jijini Dar es Salaam. 
Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete  wakimjulia hali Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma wa Serikali ya Mapinduzi  ya Zanzibar (SMZ) Haroun Ali Suleiman aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro)

 Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, akiagana na  Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo. Kushoto ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal. 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi wa Umma wa Zanzibar, Haruna Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo. Katikati ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Salome Kassanga. (Picha na OMR)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo, Jan 15, 2014. Kulia ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na  Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo, Jan 15, 2014. Kushoto ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi wa Umma wa Zanzibar, Haruna Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo, Jan 15, 2014. Katikati ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga. Picha na OMR Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga. Picha na OMR

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>