@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- WABONGO BADO TUNA SAFARI NDEFU SANA KUENDELEA MBELE, BADO AKILI ZETU ZIMELALA USINGIZI INFACT INAHITAJI MOYO MGUMU SANA NA UVUMILIVU WA AJABU SANA KUWEZA KUFANYA KAZI YA BIASHARA AU YOYOTE ILE NA MBONGO HUKU BONGO, HAWAKO SERIUS WENGI WAO WANAPENDA KUPOKEA PESA TU, LAKINI SIO KUJITUMA AKIJUA UTAMPA PESA HAPO HAPO ATAKUJA NA KUJIFANYA YUPO SERIOUS ONDOKA TU KIDOGO AU MRUHUSU AKAFANYIE KAZI NYUMBANI BASI FORGET IT, MTU ANAJIITA BUSINESSMAN ANAKUPA NAMBA YA SIMU HALAFU HAPOKEI, UNAMTUMIA MESSAGE HAJIBU, JITU LINAAHIDI KUJA SAA MBILI LINAISHIA KUFIKA SAA SITA HALAFU LIKIFIKA HATA HALIJUI KUSEMA SORRY, WEWE UMESIKIA WAPI MJI MKUBWA KAMA DAR IKIFIKA SAA MBILI TU USIKU HAMNA MTU GIZA TUPU MIJI YOTE MIKUBWA DUNIANI SAA MOJA USIKU NDIO KUNAANZA KUKUCHA, INASIKITISHA SANA!!
- PEOPLE BADILIKLENI WACHA KUAHIDI USIYOWEZA KUTIMIZA, WACHA KUJIFANYA UNAJUA WAKATI KUMBE HUJUI ANYTHING NINAYAONA MAJITU MENGI HAPA BONGO YAMEJIKITA KWENYE FIELD SIO ZAO KABISA, MTU UNAMUONA KABISA ANATAKIWA KUWA MSANII LAKINI YEYE ANAJIFANYA POLITICIAN, MTU UNAMUONA KABISA KWAMBA ANATAKIWA KUWA MKULIMA LAKINI ANAKAZANIA KUWA BUSINESSMAN, MATOKEO YAKE NDIO HAYA MAJENGO MAPYA MAZURI, MAGARI MAZURI, LAKINI WANANCHI AKILI ILE ILE YA MWAKA 1960: SO SAD SASA HIVI KILA MTU HAPA MJINI ANAFIKIRIA KULALA USINGIZI NA KUAMKA ANATAFUTA SPONSORS WA NONSENSE ZAKE LINAKUJA KUKUOMBA ULISAIDIE KUTAFUTA SPONSORS MAANA HAO SPONSORS WANATAKIWA KUWA WAJINGA FLANI HIVI KAZI YAO KUTUPA TU MAPESA FOR NONSENSE!! PEOPLE BADILIKENI JAMANI THIS IS 2014 I MEAN UKIANZA KUFANIKIWA YANAANZA MAJUNGU MAJUNGU KILA MAHALI YA KUHALALISHA UJINGA WAO WA KULALA LALA USINGIZI MIJITU MIZIMA LAKINI IMELALA SUINGIZI MZITO SANA PEOPLE WAKE UP! FANYA KAZI THE REST MUWACHIE MUNGU LAKINI FANYA KAZI, BE WHAT YOU CLAIM TO BE SIO UJANJA UJANJA ILE DUNIA HAIPO TENA, JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ
- PEOPLE BADILIKLENI WACHA KUAHIDI USIYOWEZA KUTIMIZA, WACHA KUJIFANYA UNAJUA WAKATI KUMBE HUJUI ANYTHING NINAYAONA MAJITU MENGI HAPA BONGO YAMEJIKITA KWENYE FIELD SIO ZAO KABISA, MTU UNAMUONA KABISA ANATAKIWA KUWA MSANII LAKINI YEYE ANAJIFANYA POLITICIAN, MTU UNAMUONA KABISA KWAMBA ANATAKIWA KUWA MKULIMA LAKINI ANAKAZANIA KUWA BUSINESSMAN, MATOKEO YAKE NDIO HAYA MAJENGO MAPYA MAZURI, MAGARI MAZURI, LAKINI WANANCHI AKILI ILE ILE YA MWAKA 1960: SO SAD SASA HIVI KILA MTU HAPA MJINI ANAFIKIRIA KULALA USINGIZI NA KUAMKA ANATAFUTA SPONSORS WA NONSENSE ZAKE LINAKUJA KUKUOMBA ULISAIDIE KUTAFUTA SPONSORS MAANA HAO SPONSORS WANATAKIWA KUWA WAJINGA FLANI HIVI KAZI YAO KUTUPA TU MAPESA FOR NONSENSE!! PEOPLE BADILIKENI JAMANI THIS IS 2014 I MEAN UKIANZA KUFANIKIWA YANAANZA MAJUNGU MAJUNGU KILA MAHALI YA KUHALALISHA UJINGA WAO WA KULALA LALA USINGIZI MIJITU MIZIMA LAKINI IMELALA SUINGIZI MZITO SANA PEOPLE WAKE UP! FANYA KAZI THE REST MUWACHIE MUNGU LAKINI FANYA KAZI, BE WHAT YOU CLAIM TO BE SIO UJANJA UJANJA ILE DUNIA HAIPO TENA, JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ
- You, Alex Wayson, Lucas Mmanywa, Mamie Akhsa and 63 others like this.
- Irishadi BikongoroKaka its true!asubuhi njema le mutuz.
- Jose Watano· Friends with Mwigulu Nchemba and 41 othersDu! Mr WJM, maneno makali bt yana make sense ujumbe umetufikia.
- John GabrielKweli kaka kautamaduni ka kufanya mambo ili mradi Ku survive inabidi kaachwe. Wengi wanafikiria KUPATA kwanza kuliko KUWA wa aina fulani. Na mbaya zaidi wengi wameshakata tamaa haiwezekani kubadilisha hali hii. Na hili bro ulilosema unalikuta sio tuu kwa wasiosoma hata wale wanaojiita wasomi ni vile vile.
- Makirita Amani· 155 mutual friendsLeo nakubaliana na wewe le Le Mutuz Baharia kuna shida kubwa sana kwa sisi watanzania. Tutafanya kila kitu ila kama hatutabadili mindset ni kazi bure. Kila mtu anafikiria kupiga pesa ya haraka, kila mtu anafikiria kuiba. Hatuwez kuendelea kama taifq kwa staili hii. Ni lazima watu wafanye kazi kwa juhudi na maarifa ndipo tupate maendeleo.
www.amkamtanzania.com - Isaac Kitogo"...SO SAD SASA HIVI KILA MTU HAPA MJINI ANAFIKIRIA KULALA USINGIZI NA KUAMKA ANATAFUTA SPONSORS WA NONSENSE ZAKE LINAKUJA KUKUOMBA ULISAIDIE KUTAFUTA SPONSORS MAANA HAO SPONSORS WANATAKIWA KUWA WAJINGA FLANI HIVI KAZI YAO KUTUPA TU MAPESA FOR NONSENSE!!..." hahahahahha!!!
- Kichuna Wa KimakuaAm I allowed to share this status?maana nasemaga naambiwa nna gubu
- Peter Sima· Friends with Zola D King and 95 othersMm mwenyewe na tafuta saponsa ili nifungue barbers shop ntampataje anko?
- Benedict LugiyeMwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie, Ujumbe ndio huo
- Kichuna Wa KimakuaPeter Sima hujambo? We mchokozi teeee...Kakope PRIDE
- Joel Elia MwangaHii ya kutafuta sponsor wa nosense zake ndio imenivunja mbavu @ William Malecela
- Patrick Lusiano TsereSasa brother William wewe si mjumbe wa Jumuiya ya Wazazi, tumia nafasi yako ya kiuzazi kukibadilisha hiki kizazi cha watoto na wajukuu zetu kibadilike kutoka fikra za wazee wao za 1960! Happy New Year Sir! Nakubaliana na hayo yote. Cha hovyo kabisa ni kule kuamini mafanikio huja kwa njia ya kupanda elevator na sio ngazi! Too bad and too sad!
- Kichuna Wa KimakuaNa kibaya kingine wooote kung`ang`ania kuiga iga maisha ya watu wasiowajua! Pia kudhani kazi ni kuajiriwa tu! Itakula sana kwao, wabadilike
- Temu TumainiI am Le Jituz I approve this 10000000000%
- Temu Tumainihttp://mp3skull.tv/play.php... Diaspora walonga na swahilivilla
- Sophie KindemMmmmmh! Umeona eeeehhhh!?
- Sendoro JumaUmesema yote!
- Sendoro Juma@peter sima the so called sponsor are actually in business! Eventually they must get return out their sponsorship
- Emmanuel KakuyuMy brother Willy tunahitaji serious culture change as a nation. Hakuna nidhamu ya maisha siyo tu kwa watu pekee lakini karibu katika kila sekta na taasisi nchini. Tumetawaliwa na ujanja ujanja ; uongo ; show off ; matanuzi wakati hatutaki kujibdiisha kupata kipato cha kweli. Watanzania punde tu tutawakaribia watu fulani wa magharibi ya Afrika kwa utapeli ; uongo na showboating pasipo kutimiza wajibu wetu !
- Farry MhinaUkweli mtupu!
- Mame HoffmannWow!!!! you said all sweet.. kazi ni kubwa mno kwangu mie ni li experience hii trauma 2006 ya panda ngazi shuka, Juma kaondoka na file, subiri boss anaongea na simu bla bla bla. When you ask' wengi wao wanakwambia hii bongo mambo hayataki haraka, au watakuambia usituletee uzungu hapa hii ni TZ kama una wapa muongozo how things work in other countries. Hata hivyo William J. Malecela huko na moyo wa kishujaa sana,,, only two years nime notes ume weza ku cop to the systeam. Emmanuel Kakuyu you got a point but hiyo strategy ya changing national culture could work better kama viongozi wa ngazi za juu wangekuwa na muongozo imara, wasomi waliobobea, na wana fanya kazi kwa Interest ya kuwasaidia wananchi wao na si kwa Interest yao kama viongozi. Na siyo uongo, ngono, hongo na kujuana. Na kama Willy alivyosema Bongo wananchi wengi ni kuigana wao kwa wao.. kama Jirani anafanya biashara ya daladala basi na yeye thinking capacity itamtuma afanye hivyo hivyo, hakuna kitu kizuri kufanya kazi kwa PASSION, even if you don't earn such amount of money but you like what you do, could have help to inspire the young generation. My thought!!
- Joey GalinomaSiku zote nasema kama hujaishi nje ya Tanzania ni vigumu kumwelewa William Malecela anasema nini. Wabongo tupo nyuma zaidi ya miaka 200 ni ukweli mchungu lakini ni ukweli! Nilivyorudi nyumbani siku za mwanzoni sikuamini kama kweli watu wanaweza kufikiri au kutenda au kuwa waongo wakubwa bila sababu za msingi! Nilikuwa najiuliza kwa nini mtu ana simu lakini hapatikani? Kwa nini watz hawaheshimu ahadi? Hadi hii leo nasema haya sijazoea kabisa mfumo wa maisha ya watz wenzangu! Huwa nasikitika sana nikiona watz wavyowazungusha business partners wao kutoka nje. Tuna ssfari ndefu sana.
- Emmanuel KakuyuMame Hoffmann...bado tuna kazi kubwa sana na mara nyingine wasomi na wenye nafasi ndio ambao wanaongoza kwenye complacency. Kuna wakati watu 50 very active kwenye mambo mbalimbali hapa Dar walikuja na wazo la kuanzisha benki. Watu tukakusanyana na kuamua tuchange milioni 10 kila mmoja (hata za kukopa) ambayo ingetupatia milioni 500 ambayo ndiyo kianzio cha kufungua benki kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania. Tukafanya vikao vingi tu na mawasiliano kadhaa ya emails. Vikao vikaenda kwa nguvu ; jina la benki likaundwa kila kitu kikafanyika ikabaki sasa kila mtu atoe hiyo milioni 10 ili tumalizie hatua ya mwisho tuwe na benki yetu.... bwana weeeee !! malizia mwenyewe !!! Hii ndiyo Bongo !!
- Mame HoffmannHa ha ha I know the rest already Emmanuel Kakuyu
- Peter Sima· Friends with Zola D King and 95 others@Sendoro,sijakuelewa wng kilugha hicho! Ila me niko siriazi kabisa nikipata mtu akanifadhili bac ntaanzia hapo hapo maisha yng yapo kwenye nyele tu kunyoa cna kingine.
- Sylvia GondweWabongo ustaraabu bado sana na wala hautapatikana japo wanasema bongo tambarale ni katika masuala ya kujirusha tu, watu bado wamelala saaaana.
- Lucy Robertumegundua bado but one day yes
- Francis Tukaibig up sana my brother!somo tosha kwetu sote!
- Ally HabibuWell saying William
- Baraka Gerald@Le Mutuz- Very Soon...Change is coming to Tanzania and Africa
- Hawa MnyasengaNi kweli kalumbu!
- Subi Mwaipopo· 17 mutual friendsukiliuliza ooooooh ndugu yangu amepata ajali ya pikipiki nimechwelewwa muhimbili