HABARI MPYA YA SUPER STAR WEMA SEPETU + RUGE MUTAHABA WA CLOUDS + SUPER STAR...
Diamond akiwa na Wema.Dar es Salaam, Tanzania.Wasanii; Diamond Platnum na Wema Sepetu wametua rasmi mikononi mwa mdau wa sanaa nchini, Ruge Mutahaba kwa ajili ya kuandaliwa taratibu za kufanya kazi...
View ArticleKOCHA MBELGIJI ALIYETOSWA NA YANGA AMCHANA KOCHA MPYA WA TIMU HIYO LIVE!!
Eymael ambaye ni raia wa Ubelgiji alikuwa miongoni mwa zaidi ya makocha 50 waliotuma maombi wakitaka wapewe kazi ya kuinoa Yanga, lakini alitoswa baada ya uongozi wa klabu hiyo kumpa fursa hiyo...
View ArticleKUFURU LA BIRTHDAY BASH LA SHAMIM AT SERENA HOTELI ILIKUWA NI BALAAAH LIVE!!
hhahahahh chezeaaa paparaziiii instagram timeee lolorganiser of the shamim's surprise dinner Super Model Flaviana Matata.Cake time shamim and HubbyThe Birthday girl was Dressed by EVE...
View ArticleALIYEKUWA SHOGA SASA ABADILIKA NA KUWA STRAIGHT NA KUOA MBEBEZ WA UKWHEEEEZZZ...
Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu,...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- WAZIRI MKUU AJITOSA VITA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI...
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda / Picha na MaktabaDodoma/Arusha. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anakwenda Wilaya ya Kiteto, Arusha kutafuta suluhu ya mapigano baina ya wakulima na wafugaji katika...
View ArticleSUPER STAR MODEL ALIPOKUTANA NA MKE WA RAIS LIVE!!
Naomi Campbell talks with First Lady Margaret Kenyatta at State House, Nairobi. Naomi Campbell poses for a photo with First Lady Margaret Kenyatta at State House, Nairobi, last Friday. Supermodel...
View ArticleTIZAMA YALIYOWAKUTA WAUMINI BAADA YA KUDANGANYWA NA MCHUNGAJI MBURULAZZ KUWA...
Waumini wa Mchungaji Daniel walijikuta wakianza kuumwa mara baada ya Mchungaji huyo kuwafanya wale wale majani.Picha zinazofuata zinaonyesha watu tofauti wakiwa wagonjwa kwenye vyoo - picha za vyooni...
View ArticleMABODA BODA WAKIMBIA MAITI YA BODA BODA MWENZAO BAADA YA MCHUNGAJI KUWAPA ZA...
Mchungaji wa Bodaboda Bahati Mwasote akiendesha Ibada ya mazishi.Kanisa la Tanzania Assemblies of God[TAG]UyoleMarehemu Gabriel Osward Ngalele. enzi za uhai wakeMchungaji Edward Mtweve wa kanisa la...
View ArticleTIZAMA YALIYOIBUKA KUHUSU NDOA ILIVYOVUNJWA NA MAHAKAMA HIVI KARIBUNI LIVE!!
Ndebile Kazuri anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi darasa la saba.Nkasi-RukwaSAKATA la ndoa iliyovunjwa na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa limeingia katika sura mpya baada ya uchunguzi...
View ArticleRAIS JK AWAAPISHA WATEULE WAPYA WAWILI LEO IKULU LIVE!!
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wateule aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Kushoto ni Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bwana Jafari Omari na...
View ArticleWANANCHI WENGI WAMEOMBA TURUDIE THIS POST SURE HERE WE GO AGAIN LIVE!!
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- WABONGO BADO TUNA SAFARI NDEFU SANA KUENDELEA MBELE, BADO AKILI ZETU ZIMELALA USINGIZI INFACT INAHITAJI MOYO MGUMU SANA NA UVUMILIVU WA AJABU SANA KUWEZA KUFANYA KAZI...
View ArticleMH. CHABAKA KILUMANGA & WIFE ALIPOKUTANA ONE ON ONE NA RAIS JK LIVE IN...
At the luncheon With The President of United Republic of Tanzania H.E Jakaya Kikwete, Zanzibar State House, celebrating 50 years of Zanzibar 's Revolution on the 12/01/14 (Mrs Chabaka's dress was...
View ArticleWAISILAMU WWAPEWA SOMO NA SHEKHE WAO MKUU KUHUSU WAKRISTO ONA ALICHOWAAMBIA...
Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba.SHEKHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, ametaka Waislamu kuacha kulalamika, kwamba Wakristo wamekuwa wakipewa upendeleo, badala yake...
View ArticleLADY J DEE AWAHCNA THE MBURULAZZZ ONA ALICHOSEMA NA ALIOWACHANAZZZ LIVE!!
Lady Jay DeeHuu ndio ujumbe wake.'Watu wanaendelea kuibiwa na wananilalamikia mimi, ndugu zangu wapendwa kuweni makini sana, Mimi sina account yoyote inayotoa mikopo facebook... Kuweni makini, kuweni...
View ArticleONA SASA HUYU MBEBEZ WA UKWHEEEZ KABLA NA BAADA YA KUJIONGEZA MASABURI YAKE...
Uwezi Amani Huyu ndio Mdada Vera Sidika Kabla hajawa Maarufu na kujulikana kwa ajili ya umbo lake la makalio makubwa na Hipsi za kufa mtu ...Angalia picha zingine hapa chini alafu uniambie alipata wapi...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- MWENYEKITI WA WENYEVITI WA CCM BARA ATISHIA KUMBURUZA...
Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM aunguruma Mgana Msindai ametoa siku 7, kwa mwenyekiti wa mkoa wa Geita amwombe msamaha kwa kumtuhumu kuwa alikuwa amelewa pombe siku ile alipomuunga mkono Edward Lowasa...
View Article