Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LADY J DEE AWAHCNA THE MBURULAZZZ ONA ALICHOSEMA NA ALIOWACHANAZZZ LIVE!!

$
0
0

Lady Jay Dee
Huu ndio ujumbe wake.
'Watu wanaendelea kuibiwa na wananilalamikia mimi, ndugu zangu wapendwa kuweni makini sana, Mimi sina account yoyote inayotoa mikopo facebook... Kuweni makini, kuweni makini. Narudia tena.
Nawashauri mwende CRDB Bank mkafungue account kama mnataka mikopo/ Bank ndio huwa zinatoa mikopo sio mimi.. Watu ni wezi sana wanatumia majina ya watu kujipatia pesa kwa ulaghai!!!!
Na nyie ndugu zangu mnaoibiwa, hivi tangu lini mikopo ikatolewa facebook???? Nilishaandika zaidi ya mara 3 kuwa sitoi mikopo mi natoa nyimbo na videos tuuu, lakini bado tu naendelea kupewa lawama kuwa nimewaibia watu, Jamaniiii eeeeeh!!
Naskia hiyo page ya Jide wa uongo imetengeneza mpaka tangazo la kwenye TV, humu mjini kuna mambo mengi sana, watu wana njaa zao watafanya kila njia wapate pesa'Ujumbe wa lady Jay Dee.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>