Mgana Msindai ametoa siku 7, kwa mwenyekiti wa mkoa wa Geita amwombe msamaha kwa kumtuhumu kuwa alikuwa amelewa pombe siku ile alipomuunga mkono Edward Lowasa kwa kuwaletea wananchi wake maendeleo.