Tunapozungumzia wasomi tunazungumzia idadi ya watu waliomaliza elimu za vyuo vikuu yaani walau mtuu ana digrii moja.
Kwa mujibu wa taarifa ya mwaka 2013 ya shirika la OECD ambayo 27/7 Wallstreet walinukuu zifuatazo ndio nchi zinazoongoza:
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 53.5%
2. Canada
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 51.3%
3. Japan
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%
4. Israel
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%
5. United States
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 42.5%
6. Korea
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 40.4%
7. United Kingdom
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.4%
8. New Zealand
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%
9. Finland
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%
10. Australia
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 38.3%
Kumi bora kwa Afrika kwa mujibu wa UNDP na kunukuliwa na Answers.com ni :
1. Zimbabwe
2. Tunisia
3. Nigeria
4. Misri
5. Afrika Kusini
6. Ghana
7. Kenya
8. Uganda
9. Zambia
10. Morocco