HAIL TO MY KING!! MY HERO!! MY CHAMP!! KURA HAZIKUTOSHA THIS TIME BUT LETS GO...
AFTER ALL WAS SAID AND DONE THE FINAL COUNTDOWN WAS BETWEEN SUPER STAR SINGER DAVIDO FROM NIGERIA AND SUPER MEGA STAR DIAMOND PLATZNUMZ, MEANING KWAMBA HAWA 2 NDIO THE GIANTS OF AFRICA IN MUSIC NOW....
View ArticlePROFFESOR AZUNGUMZIA DIAMOND KUKOSA TUZO MTV, NA UJIO WA VIDEO YA ‘KIPI...
Msanii mkongwe wa Hip Hop Proffesor Jay amesema kuwa kushindwa kwa Diamond kuchukuwa tuzo za MTV kusimvunje moyo kwakuwa alikuwa anashindana na wasanii wakubwa sana Africa.Akizungumza na bongo5 leo...
View ArticleSEMINA YA WAKUU WA MIKOA,WILAYA, WAKURUGENZI WA HALMASHAURI LIVE!!
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (aliyekaa ktikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania Bara, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Wenyeviti...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- WATUHUMIWA WA MTOTO ALIYEKUFA KUTOKA KWENYE BOX SASA KIAMA...
Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro. Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa...
View ArticleMSAADA WA MATIBABU KWA MTOTO MAIMUNA YAHAYA (11)
Pichani ni Mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya akiwa na Mama yake Mzazi Tunu JumaMsaada wa Matibabu kwa mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule ya Msingi ya watoto wenye...
View ArticleWASHINDI WAKUBWA KWENYE MTV AFRICA MUSIC AWARDS HAWA HAPA LIVE!! MBONGO MMOJA...
MADRID – Nigerians Davido and Tiwa Savage won the top male and female artist awards respectively Saturday night at the 2014 MTV Africa Music Awards, known as MAMA, in Durban, South Africa, with local...
View ArticleNA HUYU NDIYE RAIS MPYA WA EGYPT MISRI ALIYEAPISHWA LEO KUSHIKA POWER KWA...
Meet The Honourable Mr. Abdel Fattah el-Sisi President-Elect of the Arab Republic of Egypt... Sworn In today! El-Sisi takes the oath of office for a four-year term. He was officially declared the...
View ArticleTHE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA TO MY INLAWS AND EX-WIFE JAMANI...
LE MUTUZ STRAIGHT TALK LIVE!!:- HUYU MTU AMEJARIBU KUNICHAFUA JANA KWENYE MITANDAO WANAONIPENDA WAKANITUMIA UJINGA WAKE NA YEYE NI NANI, HUYU NI NDUGU WA MY EX-WIFE NIMESEMA MARA NYINGI SANA KWAMBA...
View ArticleMBONGO ANAYECHEZA KWA KULIPWA ZAIRE AT TP MAZEMBE FC WAIFUNGA ZAMALEK YA...
Timu ya TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokjrasia ya Kongo, Mazembe wameanza vizuri mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuongoza kundi A, wakiwa na alama sita.TP Mazembe ya Jamhuri ya...
View ArticleMBUNGE MTATA MAARUFU WA CCM WA NZEGA AFUNGUKA TENA LIKE NEVER BEFORE SOMA...
Hamisi Kigwangalla9 mins· Napenda kutoa taarifa kuwa account yangu ya Facebook kwa siku mbili sasa imekuwa ikichezewa, imetekwa nyara (hijacked) na watu wasiojulikana, na wamekuwa wakiitumia...
View ArticleBI HARUSI ALIA MBELE YA MBUNGE AKIHOFIA HAWA WACHEZA SHOO WALIOHARIBU MAMBO
AMA kweli dunia uwanja wa fujo! Biharusi mtarajiwa mjini hapa, Sofia Majid amejikuta akiangua kilio baada ya kundi la wasichana watatu la jijini Dar es Salaam almaarufu Welawela kumwaga radhi kwenye...
View ArticleJK MSIBANI KWA MZEE SMALL
Rais Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small eneo la Tabata, Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba.Msanii mkongwe wa maigizo, Mashaka akiwa msibani...
View ArticleMAJANGAZZ DAKTARI APIGANA NA MGONJWA WODINI
Mwili wa marehemu Yasin Jailan (15) aliyekata roho ndani ya wodi namba tisa katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro huku dokta akizichapa kavukavu.Akiwa mitaani akisaka matukio, mwanahabari wetu...
View ArticleCFAO Motors YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WAMILIKI WA MALORI YA MERCEDES BENZ NCHINI
Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star...
View Article