Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HAIL TO MY KING!! MY HERO!! MY CHAMP!! KURA HAZIKUTOSHA THIS TIME BUT LETS GO NEXT TIME ZITATOSHA TU!! SALUTE TO MY KING DIAMOND PLATZNUMZ!!

$
0
0
AFTER ALL WAS SAID AND DONE THE FINAL COUNTDOWN WAS BETWEEN SUPER STAR SINGER DAVIDO FROM NIGERIA AND SUPER MEGA STAR DIAMOND PLATZNUMZ, MEANING KWAMBA HAWA 2 NDIO THE GIANTS OF AFRICA IN MUSIC NOW. MAANA YAKE NI KWAMBA KATIKA AFRICA CONTINENT SASA HIVI NI HAWA WAWILI MMOJA WAO AKIWA BONGO LIKE ME NDIYE MMOJA WA 2 GIANTS OF MUSIC IN AFRICA THAT IS WASAP NILIDHANI IT WOULD HAVE BEEN KOOL KAMA SERIKALI INGEMPA ZAWADI NZITO THIS KID CAUSE AMETUTOA MBALI SANA WABONGO NA MUSIC, TULIKUWA HATUPO KABISA KWENYE RAMANI YA DUNIA NOW WE ARE IN. BINAFSI I KNEW KWAMBA SIO RAHISI KUMSHINDA DAVIDO KWA SABABU TIZAMA MFANO MDOGO SANA DAVIDO ALIENDA NEW YORK CITY/USA NA KUPIGA KWENYE UKUMBI WA DOWNTOWN NEW YORK CITY/USA NA KUJAZA UKUMBI THE FULL HOUSE, KITU AMBACHO NI IMPOSSIBLE KWA WANAMUZIKI WENGINE WOTE WA AFRICA, LABDA AKON NA P-SQUARE PEKE YAO NDIO WANAWEZA KUFANYA HIVYO, LAKINI NINASEMA HIVI KAMA DIAMOND AKITULIA NA KUENDELEA NA ALIPOFIKIA SASA HIVI NEXT TIME FOR SURE TANZANIA WILL BE MORE PROUD!! SALUTE KID I AM PROUD OF YAH YOU ARE THE KING!! THE CHAMP AND THE MAN!! LETS GO AND MOVE ON NOW!! - LE MUTUZ 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>