Kocha wa taifa stars Mart Nooij ametimuliwa kuifundisha timu hiyo aliyo ichukua mwezi wa nne mwaka jana ameiongoza mechi 18 na kushinda mechi tatu kutoa sare mechi sita na kufungwa mechi tisa.Analipwa kwa mwezi milioni 25 mkataba wake umebakiza miezi kumi atalipwa fidia millioni 250.Kocha huyo muholanzi aliachiwa timu hiyo toka kwa kocha Kim Poulsen leo huko Nzanzibar Taifa stars imechapwa tatu bila na timu ya taifa Uganda kwenye mchujo wa kombe la African Nations Champion.
↧
KOCHA MART NOOIJ WA TAIFA STARS ATIMULIWA BAADA YA LEO TANZANIA KUPIGWA TATU BILA.
↧
MAJANGAZ MJAMZITO AJIFUNGUA BAADA YA KUBEBA MIMBA KWA MIAKA MITANO!

According to PM News, Mrs Adenike gave birth on Sunday October 26th at Evangelical Church of
Cherubim and Seraphim located at Pipeline Road, Mafon area, Ejigbo, Lagos during the church’s Sunday service. Narrating her story to PM news, Mrs Kolawole said she suffered miscarriage in the early period of her marriage and afterwards found it difficult to conceive \
Cherubim and Seraphim located at Pipeline Road, Mafon area, Ejigbo, Lagos during the church’s Sunday service. Narrating her story to PM news, Mrs Kolawole said she suffered miscarriage in the early period of her marriage and afterwards found it difficult to conceive \
↧
↧
LADY J DEE BAADA YA MATESO YA NDOA AJIPOOZA NA VITO VYA THAMANI.
Lady J Dee baada ya kukimbia kwa mumewe Gadner G Habash kwa sababu za kunyanyasika kwenye ndoa.Ameamua kujisahaulisha shida hizo kwa kujinunulia zawadi ya vito vya dhahabu na kuonesha kujijali mwenyewe.Mwanadada huyo ambaye kwa sasa hana mpenzi amekua mpweke akijikuta anaishi na Mokonyo mtoto wa mdogo wake kama mtu anayemchangamsha na kumtoa upweke huo.
↧
BOB JUNIOR AZIDISHA UREMBO NA KUREMBUA.
Bob Junior rais wa masharobaro amezidisha kujiremba na kurembua macho baada ya kupiga picha na kumzidi Recho Kizunguzungu mvuto wa ngozi na macho kulegea.Bob Junior ambaye akiwa jukwaani ukata mauno ya kukata na shoka kuliko hata baadhi ya madensa na waimbaji wa kike nchini.Sifa ya ushombe shombe na usafi akiwa kama raisi wa wawasafi na watanashati anautendea haki hadi kupitiliza.
↧
POLISI WA KIKE WAZURI KULIKO WOTE KUTOKA KENYA ZIKO HAPA.
↧
↧
MAHARUSI WAOANA NDANI YA BWAWA LA MAJI
Maharusi wawili walifanya harusi yao katika bwawa lenye lita milioni 1.5 za maji ya bahari .
Bwawa hilo hutumiwa kutoa mafunzo ya kupiga mbizi katika kituo cha Fort William.

Bi Dorota Bankowska mpiga mbizi mzoefu aliolewa na mpenzi wake ambaye ni mwalimu James Abbot nyumbani kwao mjini Plock , Poland mwezi jana lakini akataka sana kufanya jambo la kipekee wanakoishi kama ishara ya kusherehekea harusi yao.
↧
MAAJABU YA DUNIA!! NYOKA WAMFANYIA MTU MASAJI KWA GHARAMA YA DOLA 47

Masaji hiyo inapatikana Bali Heritage Reflexology and Spa huko Jakarta, Indonesia ambako wanaweza kukuondolea uchovu wako wa siku nzima kwa massage ya nguvu inayofanywa na nyoka mkubwa.
Masaji hiyo inafanyika kwa nyoka huyo kuwekwa juu ya mwili wa mteja na mengine huachiwa yeye nyoka afanya yake. Ili kupata huduma hii mteja hutakiwa kulipa dola 47 ambazo ni zaidi ya shilingi 76,000 za Tanzania
↧
HARUSI IMEVUNJA REKODI: BWANA NA BIBI HARUSI WATINGA HARUSINI WAKIWA NA CATERPILLAR
↧
WAKINADADA HEBU KUENI JAMANI>>>HIVI UNAWEZAJE KUWEKA PICHA KAMA HII
↧
↧
MADHARA YA MCHINA
Mdada huyu anasema amekoma na anawaonya wakina wadada wengine wasifanye hivyo.
Anadai kwamba lengo lake lilikuwa zuri kujaribu kukimodify au kukirekibisha kifua chake ambacho hakikuwa na shepu ya kuvutia hapo awali.
Ndipo alipoamua kumuajiri mchina amuweke vizur lakini mchina huyo akahamisha sehemu za nyuma kuja mbele.
↧
MSANII WA COMEDY ABAMBWA CLUB AKIYAFANYA MAJAMBOZI BILA AIBU ETI ALIKUWA NA FANYA SHOW
↧
MHITIMU WA CHUO AVUA NGUO ZOTE JUKWAANI ALIPOITWA KUPEWA CHETI ZA KUMALIZA CHUO
Wasomi wanapokutana hasa katika zoezi la kutunukiwa cheti kama kielezo cha uhitimu wa ngazi fulani kuna vitu huwezi kuvifikiria kama vitatokea hata kidogo.
Katika Jack Britt High School, North Carolina, Marekani wanafunzi mmoja amewaacha hoi mamia ya watu waliohudhuria sherehe ya kutunukiwa vyeti (graduation) baada ya kupanda jukwaani kupokea cheti chake na ghafla akavua johon lake na kubaki na boxer.
Baada ya kuvua joho alinyoosha mikono yote miwili juu kama mwanamieleka anayetamba. Lakini haikuchukua round wanausalama wakamdhibiti na kumuweka chini ya ulinzi.
Kwa mujibu wa The Huffington Post, kijana huyo alinyang’anywa diploma yake na hivyo hakukabithiwa cheti.
Hata hivyo bado anahesabiwa kama mtu aliye maliza masomo yake na kuhitimu licha ya kuwa hana kielelezo cha elimu yake.
“Shule yetu imefanya jitihada kubwa.
Hapo zamani watu waliohudhuria walikuwa wenye vurugu wakati wa graduation. Tumefanya jitihanda kuwafanya watu waheshimu wanafunzi.
Huyu kijana amechagua kutoonesha heshima kwa wanafunzi wenzake.” Alisema Dr Frank Till, mwalimu wa chuo hicho.
Hapo zamani watu waliohudhuria walikuwa wenye vurugu wakati wa graduation. Tumefanya jitihanda kuwafanya watu waheshimu wanafunzi.
Huyu kijana amechagua kutoonesha heshima kwa wanafunzi wenzake.” Alisema Dr Frank Till, mwalimu wa chuo hicho.
↧
MAAJABU YA DUNIA ..MTOTO AZALIWA AKIWA ASHAZEEKA ..IMETOKEA KASKAZINI MWA INDIA
↧
↧
KUNDI LA ISIS LAMUUA MWANAUME AMBAYE NI SHOGA KWA KUMRUSHA TOKA JUU GHOROFANI,TAZAMA VIDEO NA PICHA




akirushwa toka ghorofani na alipofika chini alipigwa mawe hadi kufa
↧
MTUMZIMA UNAWEZA KUVAA NGUO KAMA HII KWELI

↧
ANGALIA NGUO YA AJABU ALIYOVAA MADONA
↧
MAAJABU HARUSI YA NYANI INDIA YATIA FORA

Harusi hiyo iliandaliwa na mmiliki wa nyani hao, ambaye alisema nyani dume ni kama "mwanaye".
Sherehe hiyo ilifanyika siku ya Jumatatu katika wilaya ya Bettiah, katika jimbo la Bihar, huku "bi harusi" akiwa amevalia gauni maridadi.
"Bwana harusi" ambaye anajulikana kama Ramu pamoja na mkewe mpya aitwaye Ramdulari walipitishwa katika mitaa ya kijiji wakiwa juu ya gari lililopambwa kwa maua na muziki ukichezwa, huku mamia ya wanakijiji wakijipanga kuwashangilia.![]()

Mmiliki wa nyani hao Udesh Mahto ambaye ana watoto watatu wa kiume amesema nyani Ramu ni kama mtoto wake wa kwanza
↧
↧
BAADA YA DAVIDO KU POST BENDERA YA TANZANIA INSTAGRAM...HIVI NDIVYO WEMA ALIVYO MJIBU
↧
KINANA AANZA ZIARA JIMBO LA BUCHOSA MKOANI MWANZA KWA KISHINDO
- Afanya ziara jimbo la Buchosa
- Atembelea miradi na kufanya mikutano ya hadhara
- Asisitiza huduma za msingi zisogezwe karibu na wananchi
- Nape awataka vijana kustuka na kutopoteza muda wao kwa vyama ambavyo vinakufa kisiasa kila kukicha.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Buchosa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dk. Charles Tzeba wakati wa mapokezi Nyamadoke, wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM amewasili Mwanza kwa ziara yenye lengo la kujenga na kuimarisha Chama ikiwa pamoja na Kusimamia, Kuhimiza na Kukagua Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Sengerema Ndugu William Ngeleja wakati wa mapokezi Nyamadoke,Sengerema mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu wakati wa mapokezi katika kata ya Nyamidoke,ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea heshima kutoka kwa vijana wa Chipukizi wa CCM mara baada ya kuwasili Nyamidoke,Jimbo la Buchosa, wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa kata ya Nyamidoke,wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza waliojitokeza kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake.
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Mhe. Zainabu R. Telack akiwasalimu wakazi wa kata ya Nyamidoke wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo akiwasalimu wakazi wa Nyamidoke waliojitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mbunge wa Jimbo la Buchosa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dk. Charles Tzeba akiwasalimu wakazi wa kata ya Nyamidoke wakati wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM nkoa kwenye mapokezi yaliyofanyika kata ya Nyamidoke.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa kata ya Nyamidoke waliojitokeza kwa wingi kuja kumpokea.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Bupandwa ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akiweka jiwe la msingi la ofisi ya CCM Tawi la Katwe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoka kukagua na kupokea maelezo ya ujenzi wa jengo la hospitali ya wilaya lililopo Isaka,kata ya Nyehunge.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Rumeya mara baada ya kutembelea chanzo cha maji.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Magessa Mulongo akiwasalimu wakazi Nyakaliro,kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Mkuu wa Mkoa alisema ,Serikali jijini Mwanza imesisitiza iko makini kwenye usimamizi wa zoezi la uandikishaji wananchi kwenye daftari la wapiga kura kupitia mfumo wa kielectronic wa BVR kwenye wilaya mbalimbali za mkoa huo.
Zaidi ya wananchi 57000 wamejiandikisha kwenye daftari hilo ndani ya wiki mbili wilayani Sengerema.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Mwanza alipokuwa akitoa taarifa ya maendeleo ya zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kata ya Nyakaliro ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Mwanza.
Wananchi wa kata ya Bukokwa wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Buchosa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dk. Charles Tzeba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaakihutubia wakazi wa kata ya Bukokwa wilaya ya Sengerema.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria kuzindua huduma ya maji safi na salama kwa wakazi kata ya Kalebezo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa kata ya Kalebezo kama ishara ya kuzinduliwa rasmi huduma ya maji.
Mbunge wa Jimbo la Buchosa ambaye pia ni Naibu Waziri wa uchukuzi Dk. Charles Tzeba akihutubia wakazi wa kata ya Nyahunge ambapo aliwaambia wananchi hao, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM umefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye Jimbo la Buchosa katika sekta zote na huduma za jamii.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu akiwasalimu wakazi wa Nyehunge kabla ya kumkaribisha Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuhutubia.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Nyehunge ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Nyehunge ambapo aliwasihi vijana kuacha kufuata vyama vinavyopoteza muda wao kwani hivyo vyama havina sera mbadala wa kuleta maendeleo.
Wananchi wakisikiliza hotuba za viongozi wa CCM Kitaifa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Nyehunge wilaya ya Sengerema ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Nyehunge, Sengerema mkoani Mwanza ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa atazungumza na wabunge wa CCM kwenye Bunge lijalo wabadili sheria zinazokandamiza wananchi.
Wakazi wa kata ya Nyehunge wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Mwanza.
(Picha zote na Adam Mzee)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
↧
BAADA YA KUDAI ANAOLEWA HIVI KARIBUNI, HIKI NDICHO KILICHOTOKEA NDO YA LULU

Stori: Musa Mateja
BAADA ya kuwa na malengo ya kuolewa mwaka 2014, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kusema imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa kutotimiza suala hilo kwani anaamini Mungu ndiye anayewezesha kila kitu.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Lulu alisema mwaka 2014 alikuwa na malengo mengi likiwemo suala la ndoa lakini kwa kuwa Mungu ndiye muweza, atapanga upya suala hilo na anaamini litakuja kutimia.
“Ndoa ni mipango ya Mungu, huwezi kulazimisha hata siku moja, sisi wanadamu huwa tuna mipango yetu lakini ili ifanikiwe lazima kuwe na baraka za Mungu,” alisema Lulu.
Akizidi kupiga stori na paparazi wetu, Lulu alisema kwa mwaka huu na mwakani hawezi kuweka malengo ya ndoa kwani bado kuna mambo yake hajayaweka sawa hivyo suala la kuolewa ataliweka hadharani baada ya miaka miwili ijayo.

“Sina mpango hata kidogo kwa mwaka huu wala mwakani labda baada ya hii miaka kupita ndiyo ninaweza kupanga tena suala la ndoa,” alisema Lulu.
Alipotakiwa kumtaja mpenzi aliyenaye kwa sasa, Lulu aligoma kufunguka lakini akakubali kuanika siri za mwanaume anayetaka kuwa mumewe.
“Kwanza nahitaji mwanaume atakayenielewa kwa kila kitu, pia awe na mapenzi ya kweli na atakayeniangalia kama Lulu na siyo kama Elizabeth pekee. Anapaswa kutambua na kusapoti kazi zangu za sanaa,” alisema Lulu.
Kuhusu mikakati yake ya sanaa mwaka huu, Lulu alisema ana mpango wa kuendelea na masomo huku akiwa pia na ‘project’ kubwa mbili ambazo anatarajia kuzifanya.
“Nina project kubwa mbili mwaka huu, muda utakapofika kila mmoja atazijua maana nitaziweka wazi,” alisema Lulu.
↧