Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

DIAMOND PLATNUM JINA HALIFANANI NA UMILIKI WA MALI.

$
0
0

                     HII NI MOJA YA MALI ALIYOPASWA KUMILIKI.

MWANADADA HUDDAH WA KENYA AZIACHA SEHEMU ZAKE WAZI AKIWA CLUB BAADA YA KUTUPIA KILAJI CHA KUTOSHA

VIDEO MASOGANGE AKIKATA MAUNO ILE MBAYA

FAHAMU LIST YA WANAUME 15 WALIO KUWA KIM KARDASHIAN!

$
0
0
Vitu ambavyo watu wanavifanya chumani ni siri yako na mwezi wako lakini mara nyingi unapokua maarufu basi vitu hivi sio siri tena.

Hivi sasa kim ameshaolewa na bwana Kanye lakini mikasa aliyoipata katika maisha yake ya mapenzi ndio imetufanyavibe Tanzania kuangalia kwa jicho la pili mahusiano aliyopitia bibie Kim Kardashian. 

Akiwa tayari ana miaka 31 , Kim amepitiwa na wanaume wengi huku wengine wakiwa ni mpango wa kando wakati tayari ana mtu mwingine. 
Hii ni list ya wanaume (wanaojulikana na maarufu)ambao wameshawai kumpitia kim tokea mwaka 1994 :- 
TJ Jackson (1994-1998). 
Katika interview yake na Oprah, Kim alisema alianza kutumia njia za uzazi akiwa na miaka 14 ambapo alikua ataki kushika mimba akiwa na mdogo. 

TJ Jackson kama ulikua hujui, huyu ni mpwa “nephew” wa Michael Jacksonambapo inasemekana ndio alikua sio tu wa kwanza kutoka naye bali wa kwanza pia kufanya naye mapenzi. 
Damon Thomas (2000-2004). 
Unafikiri kim hakuwahi kuolewa kabla? basi kama ndio , habari ni kwamba kim akiwa na umri wa miaka 20 aliolewa na producer , Damon Thomas , ndoa iliyodumu kwa miaka minne tokea mwaka 2000 hadi mwaka 2004.

FASHENI HIZI NOMA SANA..MARIAH CAREY AONESHA KUFULI LIVE JUKWAANI

$
0
0
Muimbaji huyo mwenye miaka 44 Jumapili hii alikuwa na show huko Chengdu katika jimbo la Sichuan, China na kuwapa si tu burudani lakini pia kuwaonesha kufuli lake nje nje.Ni hivi karibuni tu aliachana na mume wake, Nick Cannon baada ya kuishi kwa miaka sita lakini Mariah Carey hajataka kuruhusu matatizo yake binafsi yaathiri muziki wake na ndio maana yupo kwenye ziara barani Asia.


JESHI LA WANAWAKE WA RWANDA...CHEKI JINSI WALIVYO WAZURII

UREMBO HUU NI DHAMBI!

$
0
0
Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buheti.MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti, amesema kuwa anaweza akafanya vitu vingi vya kujiremba lakini anaogopa sana kujichora tatuu kwani ni dhambi.Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Esha alisema kuwa kitu ambacho anahisi inaweza kuwa ni moja ya dhambi mbaya kabisa ni kujichora tatuu mwilini kwani katika dini yoyote au dhehebu lolote halikubali mtu kujichora vitu tofauti na uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

“Nitaiga vitu vingine kama mavazi na hata nywele lakini siyo kujichora tatuu katika mwili wangu maana ni vitu hatari sana na vinakatazwa kabisa katika dini yangu ya Kiislamu,” alisema Esha.

MASHINE YA KUSIMAMISHA MATITI YAINGIA TANZANIA , WANAWAKE YAFAA KUCHUKUA TAHADHARI.

$
0
0
Hii ndiyo mashine ya kusimamishia matiti na hapa ipo kutumika
Hii sayansi na teknologia sasa inatupeleka pabaya. Hivi karibuni wataalam toka china wameleta mashine maalumu ya kunyanyua matiti (yawe na muonekano wa saa 6) ambayo itawasaidia kina dada/mama wenye maziwa yaliyoanguka au kusinyaa kuwa na muonekano mzuri. Huduma hii imeshaanza kutolewa hapa nchini maeneo ya sinza.Hivi hawa wachina wanatutakia mema kweli?,
Je wanaweka wazi madhara yanayoweza kuwapata baadae hao watakaonyanyua matiti yao?, je shughuli hii ina tija kwa watanzania?
Baadhi ya maoni ya watanzania juu ya mashine hii;
1. Hii ni hatari kama hatutakuwa makini,mishipa imepungua nguvu alafu unaisimamisha kwa nguvu'CHUNGA SANA.
2. Dada zangu tuwe makini na hizi mashine zinazokuja,baada ya urembo kinachofuata ni kansa.tujiulize mara mbili kabla ya kwenda huko
3. Utakuta mdada mzima, anajua kuwa tayari 'malapulapu yameshatamalaki, yeye anavaa suruali yake na kitop chake halafu bila sidiria huyooooo anaingia mtaani..........yaani unamuangalia unajiuliza hivi huyu hana mpenzi amwambie walau avae sidiria? Halafu utakuta anadai eti ana gundu mbona hatokewi! nani akutokee wakati mtu akikuangalia tu 'hamu' yote inaisha! 
4. Kutokujiamini tu, kam kupendwa utapendwa tu hata kam una malapa kifuani.Na mbona mazoezi yanasaidia sana? Unaweza ukatengeneza mwili vizuri tu kwa kufanya mazoezi
Titi la mwanamke huyu likiwa limeharibika kutokana na kansa, ambapo madawa mbalimbali na vifaa vya urembo wa wanawake husababisha ugonjwa huu.

PICHAZ GUMZO MTANDAONI: KAJALA na CHUCHU

$
0
0

Trending Photo on INSTAGRAM, This Kajala and Chuchu Hans's Photo received more than 1000 likes just in 20mins on INSTA

NOMA SANA MAZA WA MAKAMU AVUA NGUO BAADA YA KUSINGIZIWA KUIBA SIMU YA NOKIA TOCHI

SHILOLE AFUNGUKA KUHUSU MIMBA YAKE KWA NUHU MZIWANDA!!

$
0
0
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa katika pozi na mpenzi wake Nuhu Mziwanda.
Kutoka kwenye mtima! Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia ishu ya kumbebea mimba mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ili kuwafunga midomo wanawake wa mjini ambao wanamzengea jamaa huyo.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shilole alitiriria kuwa, kwa muda mrefu amekuwa akibanwa na kazi zake za muziki ambazo anafanya na mpenzi wake huyo kiasi kwamba hawakufikiria kuhusu kupata mtoto mapema.
“Kwa sasa nimepanga kumbebea mimba na kumzalia Nuh,” alisema Shilole au Shishi Baby

AIBU KUBWA DAR! ANKO ANASWA GESTI NA MTOTO WA DADAKE WA MIAKA 14 TU WAKIFANYA YAO!

$
0
0
Binti anayesadikiwa kurubuniwa na anko yake. MCHAPO KAMILI
Gabriel Ng’osha
Tap! Jamaa mmoja, mkazi wa Gongo la Mboto-Mzambarauni jijini Dar ambaye jina lake halikufahamika amewekewa mtego wa nguvu kisha kunaswa akiwa katika harakati za kutaka kujivinjari na binti wa miaka 14, ambaye ni mtoto wa dada yake wa tumbo moja (jina linahifadhiwa).
Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo ‘anko’ huyo ambaye ni dereva wa magari ya benki maarufu jijini Dar, alidaiwa kumsumbua binti huyo wa sekondari kwa muda mrefu.


Ilisemekana kwamba, kwa mujibu wa binti huyo, anko wake alikuwa akimnunulia soda baridi na kumuahidi kuendelea kumfanyia hivyo endapo atakubali ombi lake.

...Anko akiwa amewekwa chini ya ulinzi. Ilidaiwa kwamba, baada ya kuona usumbufu umezidi, binti huyo aliamua kukisanua kwa mzazi wake ndipo mtego bab’kubwa’ ukawekwa.

MAKUTANO GESTI
Baada ya mzazi kumpa mbinu zote za kuhakikisha hajirahisishi kwa mjomba wake, alitakiwa kumseti ili aumbuke ndipo binti akakubaliana na mjomba huyo wakutane gesti (jina kapuni) iliyopo maeneo hayo ya Mzambarauni.

KIBANO
Kwa mujibu wa shuhuda wetu, mjomba mtu akiwa anajiandaa ‘kumtoa kafara’ mtoto wa dada yake ndipo dada mtu na shemeji yake wakaibukia gesti chumba namba 02 na kuzua timbwili la kukata na mundu kwa kumtia mtuhumiwa mikononi kwa msaada wa polisi.

Baada ya kutiwa mikononi na baba wa mtoto wa kike, aliamua kumpeleka hadi kwa askari mmoja anayelinda benki na kumpaki gari kwa lengo la kumpeleka mtuhumiwa kwenye kituo kidogo cha polisi kilichopo maeneo hayo ya Mzambarauni.
Hadi ‘shushushu’ wetu anaondoka kituoni hapo, jamaa huyo alikuwa akihojiwa huku akiomba suala hilo wakalimalize nyumbani.

MAJANGA MWANAMKE AKUTWA GESTI AKIINGIZA WANAUME ZAIDI YA MMOJA KWA USIKU MMOJA

$
0
0
KABANG! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni    Fichua
Maovu (OFM) wamemnasa mrembo Zuena Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha gesti na kuingiza wa- naume kwa zamu usiku kucha.
Zuena Mohammed akivaa nguo zake baada ya kunaswa na mteja chumbani.
Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo
mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ngono.
Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi.
AFM Watonywa.
Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake.SOMA ZAIDI>>>

DEMU MWENYE MIMBA YA DIAMOND,CHIBU AZIPOST PICHA ZA DEMU HUYO NA KUANDIKA MANENO HAYA

DIAMOND PLATINUMS AMTUKANA ALI KIBA KWENYE MTANDAO...


MAJAMBAZI WAPORA FEDHA MIKOCHENI, WAKIMBIA, WAWILI WAKAMATWA

$
0
0

Gari lililoporwa likiwa na matundu ya risasi.
Polisi wakiwa eneo la tukio.


Mmiliki wa gari kushoto akitoa maelezo kwa polisi.
Askari wa usalama barabarani akilikagua gari.
MAJAMBAZI wanaokadiriwa kuwa watatu leo mchana wamefanya uporaji kwenye maduka matatu ya kutoa na kuweka fedha kwa njia ya simu maeneo ya Mikocheni Kwa-Mwalimu Nyerere jijini Dar ambapo baadaye walitoroka na wawili kati yao kukamatwa.

Mashahidi waliokuwepo aneo husika walisema baada ya uporaji huo, majambazi hao walipora gari aina ya Suzuki-Vitara na kuondoka nalo lakini walipofika mita chache karibu na baa maarufu ya Rose Garden, gari hilo liliwagomea kwenda na kuanza kupiga king’ora cha hatari (alarm) kitendo kilichowafanya washuke na kuanza kutafuta njia nyingine ya kujiokoa ambapo aliyeshika ‘fuba’ la fedha alifanikiwa kupora pikipiki aina ya Boxer na kutokomea na wawili waliokuwa wakitafuta njia ya kujinasua walitiwa mbaroni na askari polisi waliokuwa wakiwafukuza. PICHA : RICHARD BUKOS / GPL  

MBUNGE WA CHADEMA SUGU AMFIKISHA MKEWE KORTINI

$
0
0
Aliyekuwa mkewe na mbunge wa mbeya mjini Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally akiwa katika pozi.Mbunge wa Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ amemfikisha kortini aliyekuwa mkewe, Faiza Ally akitaka apewe mtoto wao, Shaa (2) ili amlee kwa vile mama yake huyo si mwadilifu.
Ijumaa iliyopita, saa 2:00 asubuhi, Faiza alipanda kwenye kizimba cha Mahakama ya Mwanzo, Manzese/ Sinza iliyopo Sinza-Makaburini jijini Dar kwa ajili ya kukabiliana na madai hayo.

Alieyekuwa mke wa mbunge wa mbeya mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" akiingia mahakamani. 

SUPER STAR DIAMOND PLATINUMZ AMPA ZA USO WEMA SEPETU! ACHA USHAMBA!

$
0
0
Dimond: Wema and Her Team Must change- Wema for MP... 
This is Diamond comment on Wema regarding her motives to MJENGONI 
“Swala siyo watu kumvunja moyo ,..ila yeye abadilishe akili ya mambo ya kushabiki migogoro ya watu wengine mitandaoni aache..katia aibu sana jana ,katangaza ubunge na bado ana
shadadia ugomvi wa Diamond na Davido ,...mbunge ndo wakuwa na akili hii kweli,...watu wanahasira na upuuzi unaofanya na team yake na bado yeye mwenyewe anachochea ...watu watamuachaje....abadilike kama kweli anataka kugombea ubunge” Wewe mdau unakipi cha kusema hapa.   

ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND! AFUNGUKA MAZITO! A-Z IPO HAPA MDAU...

$
0
0

Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba.
Brighton Masalu
VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.
Ali Kiba alitema cheche Alhamisi ya wiki iliyopita ndani ya Hoteli ya Sea Cliff, Masaki jijini Dar, kulikokuwa na uzinduzi wa kampeni ya kupinga vita ujangili, iliyoratibiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, huku akiwa ni mmoja wa mabalozi sanjari na mlimbwende wa zamani, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ‘K-Lyin’.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz.


USO KWA USO NA PAPARAZI
Baada ya shamrashamra za ‘event’ hiyo, haraka sana kama mshale wa Mmakonde, mwandishi wetu alimfuata Ali Kiba, lengo kuu likiwa ni kusikia chochote juu ya ushindi wa Tuzo za Kili ambapo alizoa tano binafsi na moja ya kushirikishwa.
Kiba alisema anaamini alistahili kushinda tuzo zote kwani vigezo na sifa anazo na amejiandaa kikamilifu kupambana na yeyote anayedhani kuwa ni mfalme wa muziki huo.
JINA LA DIAMOND LAMCHEFUA!
Katika mahojiano hayo, mwandishi wetu alimkumbusha Ali Kiba uwepo wa Diamond ambapo kwa haraka sana alimkata kauli mwandishi kwa kusonya na kuweka wazi kuwa miongoni mwa mambo ambayo humpa kichefuchefu, ni pamoja na kusikia jina la Diamond likitajwa mahali popote penye uwepo wake!

“Kaka, sitaki kabisa kulisikia jina hilo, linanipa kichefuchefu, unajua kwa kipindi ambacho nilikaa kimya, nilikuwa nausoma mchezo lakini hakuna aliyeweza kuchukua kiti changu na kuamua kurejea ulingoni kwa kishindo na kuanzia sasa hivi ni mapambano mwendo mdundo,” alisema Kiba na kuongeza:
“Simaanishi kuwa hakuna msanii mzuri kama mimi, naomba nisieleweke vibaya, wapo lakini siyo huyo dogo (Diamond), muziki ni zaidi ya mbwembwe, niko kikazi na sasa nimedhamiria kweli, kama anaamini yuko fiti, kazi zitaweka wazi ukweli na si drama za kitoto.”

VIPI KUHUSU YEYE NA WEMA?
Mwandishi wetu alitaka kujua kulikoni msanii huyo alimuweka Wema Sepetu kwenye ukurasa wake wa Instagram akimmwagia shukrani lukuki na si mtu mwingine?
“Wema amekuwa ni shabiki wangu wa siku nyingi mno, alianza kunipenda kupitia wimbo wangu wa Hands Across the World (kwenye Project ya One-Eight) na kuanzia hapo amekuwa akinipa sapoti kubwa sana, siwezi kukaa naye mbali eti kisa huyo jamaa (Diamond).
“Naamini kwa asilimia nyingi sana hata huu ushindi wangu wa tuzo, umechangiwa na sapoti yake pamoja na wadau wangu wengine,” alisema Kiba.

AFUNGUKA KUHUSU VIDEO YA MWANA!
Pia, mwandishi wetu alimtaka staa huyo kufafanua madai ya kutoitendea haki video ya Wimbo wa Mwana, ambapo alisema, watu wengi walitarajia aifanye kulingana na mawazo yao ndiyo maana akaamua afanye vile anavyoaamini ingekuwa bora.

“Kila mtu alikuwa ameshatengeneza picha ya jinsi video ya wimbo itakavyokuwa, halafu sifanyi kazi kwa kushindana na mtu, ndiyo maana ilionekana tofauti na mawazo ya wengi, namalizia kwa kusema salamu zimfikie jamaa (Diamond) kuwa mapambano ndiyo kwanza yameanza,” alisema Kiba.

DIAMOND ANASEMAJE?
Hadi tunakwenda mitamboni, jitihada za kumpata Diamond aweze kuzungumzia vita hiyo iliyofufuka upya hazikuzaa matunda kufuatia simu ya staa huyo aliyekuwa nchini Afrika Kusini kikazi, kuita bila majibu.

TUJIKUMBUSHE
Kwa muda mrefu sasa, Kiba na Diamond wamekuwa wakiripotiwa kuwa na bifu la chini kwa chini linalotokana kugombania ufalme wa muziki Bongo.

MAJANGAZ : ANGALIA UCHAFU WA VIJANA HAWA

Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>