Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

KAJALA AVUJISHA SIRI DUH DADA YAKE NA DIAMOND QUEEN DARLEEN NAYE ANA MIMBA MMMH TAZAMA JAMAA ALIYEPA UJAUZITO

$
0
0




And this handsome guy Tv anchor from Azam tv rumors risen he is responsible for queen darleen pregnancy!!.


PICHA ZA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA BAGAMOYO, ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA

$
0
0

Ajali iliyotokea wilaya ya Bagamoyo, Pwani
Gari la aina ya Fuso T 945 BHZ lilioloanguka maeneo ya makutano ya barabara ya Kiwangwa na Bagamoyo baada ya kufeli kukata kona likiwa limebeba kreti za bia.

PICHA 5 ZA MTOTO WA ZARI ANAEFANANA NA DIAMOND KILA KITU HIZI HAPA, WAMEFANANA SANA JIONEE HAPA

PROFESA LIPUMBA AONDOKA NCHINI CHINI YA ULINZI MKALI, KISA? SOMA HAPA

Article 9

JAMAA AMWAGA DANCE LA HATARI MBELE YA RAIS KIKWETE.

UKAWA WAJIPANGA UPYA.

$
0
0
Mgombea Urais Chadema+Ukawa Edward Lowassa akutana na kuzungumza na MgombeaUrais Zanzibar-Ukawa-CUF,Seif Sharif Hamad


HAKIKISHA UNAWAKUMBUKA HAWA MUHIMU SANA.


HATA YESU ALIKUMBATIWA NA MOJA YA MTUME WAKE.

SOCCER 2015 RELEASE

KAULI NZITO INAYO MMALIZA LOWASA KABISA ...INAYO SAMBAA MITANDAONI

$
0
0
Ni napenda kuungana na watanzania wote hususani wanachama wa vyama vinavyounda 
UKAWA ambao wengi wao wamestushwa, kukerwa na kushangazwa na kile 
kilichofanywa na viongozi wa UKAWA ambacho kimeonyesha wazi kuwa umoja huo 
hauna uzalendo KWA Taifa bali viongozi waliopo katika umoja huo wamejawa uchu 
wa madaraka na ubinafsi uliokithiri. Ni nani asiyejua ndani ya Nchi hii uchafu 

ulioanikwa na viongozi hawa hawa wa Ukawa juu ya edward Lowassa? Hali hii 

imenifanya naamini kuwa kwa sasa siasa imevamiwa na maharamia.

LAKINI NINI KINAMSUKUMA LOWASSA KUSAKA URAIS HATA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA?

KATIKA uhalisia ni wazi kuwa Lowassa ametumia pesa nyingi KATIKA mchakato wa 

Uchaguzi kuliko hata gharama ya kuendeshea TUME ya Uchaguzi. Je pesa hii 

aliitoa wapi?
Duru za uhakika zinasema pesa hiyo ilichangwa na wa fanya biashara wakubwa 

nchini, makampuni makubwa nje ya Nchi, na Nchi za kigeni zenye uchu wa kuunda 

mikataba ya kuchuma raslimali mbalimbali humu nchini. Makubaliano ya kutolewa 

pesa hiyo ni kwamba Lowassa atakapo fanikiwa kushinda watu hao watapewa fursa 

za uwekezaji na makampuni kadhaa yatasamehewa kodi huku Nchi kadhaa zikiahidi 

kutoa misaada mdogo mdogo KWA wananchi kwa tenda za "Dili" za Serikali. Hali 

hii ni hatari sana kwa wananchi wa hali ya chini.
KWANINI LOWASSA KAHAMIA CHADEMA?
Kuhamia kwa Lowassa CHADEMA tunaweza kusema ni haki yake kikatiba lakini 

uhalisia ni kwamba Shinikizo kutoka kwa watu waliowekeza kwa Mgombea huyu KWA 

kutoa mabilioni ya fedha ndio kunamfanya agombee kwani wafadhiri wa harakati 

hizo wamegoma kumuelewa kabisaa Lowassa kwani aliwahakikishia kuwa lazima 

atapitishwa na CCM hivyo kuwa fanya wamwage pesa wakijua wazi wanapalilia 

"deal".

Baada y kukatwa kwa Lowassa ndani ya CCM wawekezaji hawa KATIKA siasa 

walishinikiza kurejeshewa pesa zao lakini Mzee Lowassa asingeweza kuwa 

rejeshea pesa hiyo. Kilichofuata yalikua mazungumzo kati ya Lowassa na CCM 

akiwaomba basi wamsaidie kulipa mabilioni hayo ya Pesa lakini Chama cha 

Mapinduzi kilisema KWA msimamo kuwa hakitolipa Pesa hiyo na hakuna sababu ya 

kulipa Pesa isiyo na manufaa kwa watanzania. Sasa hali ilikua ngumu baada ya 

baadhi ya wafadhiri kuamua kumfirisi Lowassa au kumtaka ajitose KWA gharama 

yoyote kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais kupitia upinzani. Hii INA maana 

Lowassa ameingia upinzani kwa shinikizo la Wafadhiri wake ili kutetea maslahi 

ya Wafadhiri hao.

Hapo nadhani watanzania tuwe wazalendo kwa Taifa, pingeni kwa uwazi ujio wa 

Fisadi LOWASSA katika kivuli cha UKAWA. Ninawapongeza wana Ukawa wanaozidi 

kustukia mchezo kila dakika iendayo kwa Mungu. Tuungane kutetea raslimali 

mbalimbali za Nchi Yetu, tusikubali kuuza Nchi Yetu.

Josias Charles @2015

KATI YA LOWASA NA DR. SLAA CHADEMA WAMCHAGUA LOWASA NA KUMPUMZISHA KATIBU WAO MKUU SLAA ONA HAPA LIVE!!

$
0
0



Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akiwa na Katibu wake, Wiibrod Slaa
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akiwa na Katibu wake, Wiibrod Slaa

Chadema ‘wampumzisha’ Dk. Slaa



CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempumzisha Katibu Mkuu wake Dk. Wilbroad Slaa. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea).

Aidha, wanachama wake wametakiwa kuacha kuwa hofu kutokana na ujio wa Lowassa kwa kuogopa kunyanganywa vyeo vyao na wafuasi wake.
Mbowe amesema, “inawezekana Slaa naye anahofu juu ya ujio wa Lowassa kama ilivyo kwa wanachama wengine, wakidhani kuwa nafasi zao zitachukuliwa na wananchama wapya”. Hayo yanabainishwa leo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Freeman Mbowe alipokuwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
“Katika hatua zote hizo tulikuwa sambamba na Slaa lakini baadae alibadilika ghafla na kutofautiana na Kamati kuu.Na mimi mwenyewe binafsi jana nimekaa nae zaidi ya masaa mawili nikijaribu kuongea nae lakini hatukufikia muafaka” amesema Mbowe.
Amesema maamuzi hayo ya kumpumzisha Slaa yameamuliwa na Kamati kuu ya Chadema baada ya kuwa katika mazungumzo ya muda mrefu bila kupata muafaka wa hatima ya ukimya wake.
Akizungumza na waandishi kabla ya kuanza Mkutano wa Baraza Kuu Chadema Mbowe amesisitiza kuwa Slaa alibadilika ghafla baada ya Kikao Cha Kamati Kuu. Mbowe ameeleza kuwa, awali Chama kilikaa vikao vingi kujadili juu ya ujio wa Waziri mstaafu Edward Lowassa kujiunga na Chadema na kufikia makubaliano yaliyowahusisha viongozi wote wa Chama akiwemo Slaa.

Mbowe amesema, chama hakiwezi kusimama kufaya shughuli zake kikisubiri maamuzi ya mtu mmoja hivyo kitaendelea na kazi zake hususani katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi.
Mbali na hilo, amesema, “Chama kipo tayari kumpokea wakati wowote atakapokuwa tayari kurudi katika nafasi yake na sisi bado tunampenda na kumheshimu kama kiongozi”
“Leo nimeamua kuweka wazi suala hili baada ya kusikia na kuona vyombo vya habari mbalimbali vikiripoti habari zisizo za kweli ya kwamba Slaa amejiuzu na kwamba Chama kimempora mali zake na kumtishia habari hizo sizakweli na wala chama hakina ugomvi nae”.
Amesema, wanachama hawatakiwi kuhofia chochote juu ya ujio wa Lowassa na wafuasi wake kwani Chadema ni chama cha wananchi kwa yoyote atakae hitaji kujiunga anakaribishwa.
“Lakini hofu hii haipo kwetu tu ipo hata kwao Chama cha mapinduzi (CCM) kwani hawajawahi kupata hofu na viboko kama hivi vya kuondokewa na wafuasi wengi tena kwa wakati mmoja kama mwaka huu”.
Amesema CCM hadi sasa bado hawajielewi kutokana na mapigo mengi yaliyowapata kutokana na kuondokewa na kada wao mkubwa, na wengine bado wanakuja na hii ndio furaha ya chadema ili kuweza kuimaliza CCM Oktoba Mwaka huu.“Ni lazma tuitumie fursa hii tuliyoipata na hatuwezi kuiacha. Lengo letu ni kuwa na wafuasi wengi zaidi haswa kutoka CCM ili tuzidi kuwamaliza kabisa tumeshawapokea wengi na tutazidi kuwapata wengi zaidi”.

Akizungumzia mkutano mkuu utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Mlimani city Dar, ambapo amesema utamtangaza rasmi mgombea urais kwa tiketi ya Chadema pamoja na kumtangaza mgombea mwenza wa chama hicho.

SUPER STAR DIAMOND PLATINUMS AKIWA NA MTOTO WAKE

$
0
0
diamond-na-Tiffah
Picha ya kwanza Diamond Platnumz akiwa na Princess_TiffahSiku ya Jana ilimkuwa ni siku ya Furaha sana kwa familia ya Diamond Platnumz ambapo Zari ambae ni mpenzi wa Diamond alijifungua mtoto wa kike, Mtoto huyu amepata
umaarufu sana kwa muda mfupi katika mitandao ya kijamii hasa instagram ambapo mpaka sasa account yake ina jumla ya Followers 40 elfu. Katika account hii ya @princess_Tiffah imepostiwa picha ya kwanza ikimuonyesha Diamond Platnumz akiwa na mtoto wake.

WEMA SEPETU AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MTOTO WA DIAMOND

$
0
0
Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bongo bibie Wema Sepetu
ameandika maneno mazito sana kwenye mtandao maarufu wa Instagram ambayo yamevuta hisia za watu mbali mbali wakiwemo ma superstar wengine ndani ya Bongo. 

MREMBO ALIYEZUA GUMZO LEO HUKO INSTA, BAADA YA KUTUPIAMO HIZI PICHAZ!

$
0
0
This is definitely the most voluptuous 'mzungu' lady! NickiMinaj and Kim K have got nothing on this woman. Her name is Elke The Stallion and she's a plus size model. The body on her is unbelievable. She claims it's all natural but then so is Kim's and Nicki's, arethey??

MFAHAMU MWANAMKE ALIYEMZIDI WEMA SEPETU UZURI.

ONA PICHA ALIZOIGA ZARI WA DIAMOND PLATNUM.

KIVAZI CHA MSANII WA KIKE CHA UZUA GUMZO.

$
0
0
MSANII RIHANNA AKIWA NA BOYFRIEND WAKE.

MAAJABU ONA PICHA YA MDADA NA BABA AKE HAWATOFAUTIANI.

$
0
0
KIM KARDASHIAN AKIWA NA BABA YAKE WA KAMBO KULIA ALIYEBADILI JINSIA.

HEBU SHANGAA MIMBA YA KWANZA DUNIANI KUWA HIVI.

Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>