Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

CHEZEYA BONGO WEWE HII NDIO DOWNTOWN BONGO TAMBALALEZZZ AFU HII NI JANA LIVE NGOJA SASA MABASI YA MWAKYEMBE YAANZE VURUGU HAPA MUJINI WALLAHI APATATOSHAZZZ!!

$
0
0

Hapa ni Posta Mpya Jijini Dsm asubuhi ya Leo Tar.13/02/2014,Watanzania wapo kwenye pirikapirika za Kusaka Riziki ya Kila siku.
 Naam,Vikwangua Anga Vinaongezeka Kwa kasi hapa Dsm,Nyuma ya Jengo la NMB HOUSE Posta Mpya kuna Vikwangua Anga Viwili Vimeshapandishwa.
Yes,hapa ni Mtaa ya Maktaba kuelekea Mtaa wa Ohio na Posta Mpya Jijini Dsm.
 Mkapa Tower Posta Mpya.
Picha imepigwa Nikiwa Upande wa Jagwani,Kwa Mbali ni Ghorofa za Kariakoo zinajengwa Kwa kasi sana.
Ujenzi unaendelea wa barabara za Kisasa za Mabasi yaendao kasi,Hapa ni Magomeni Mapipa.
 Jengo la Kwanza linaitwa Uhuru Freights na Jengo la Pili ni VIVA Towers Makutano ya Barabara ya Ohio na Kuelekea Salenda Brigde Road.

MBUNGE MPYA WA BUNGE LA KATIBA AFUNGUKA LIKE NEVER BEFORE U KNOW CHECK THIS OUT ALICHOSEMA LEO LIVE!!

$
0
0

"Watanzania wana kiu ya katiba mpya na kuna vipengele vingi vya katiba ambavyo vinatakiwa tuviangalie ili kuzima kiu hiki - mi nimeona masuala kama usimamizi wa sheria; haki ya umiliki ikiwemo suala pana la kumiliki ardhi mpaka hakimiliki ya kazi za sanaa; uhuru wa kupata na utoaji habari na mfumo wa sheria ni vipengele muhimu sana katika kujenga Tanzania iliyo sawia. Je vipengele au masuala yapi unafikiri ni muhimu katika rasimu ya pili ya katiba? Change Tanzania
Some key issues that need wider consideration and discussion in the new draft constitution is access to justice, property rights (including copyright), freedom to information and media freedom, rule of law. What are the key issues that you think should get focus in the Constitutuent Assembly?"
 


KAMATI YA MAADILI YA CCM KUTOA ADHABU KWA VIGOGO WAKE KUNA TETESI ZA KUFUKUZWA CHAMA KWA MMOJAWAPO SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0





Vigogo sita ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza kuhojiwa leo, huku wakikabiliwa na adhabu kadhaa ikiwamo ya kufungiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ikiwa watapatikana na hatia ya makosa yanayowakabili.
Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, inaanza kikao chake mjini Dodoma, chini ya uongozi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula kuwahoji makada hao ambao ni wale wanaotajwa kuonyesha nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2015.

Miongoni mwa mambo yanayotarajiwa kuteka kikao hicho ni vitendo vinavyotokana na vita ya urais wa 2015, ambapo kumekuwa na matukio ya makada wa CCM kurushiana maneno hadharani na wengine kutuhumiwa kwa matumizi ya fedha.
Kanuni za Uongozi na Maadili za CCM zinaruhusu wanachama wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi kutangaza nia zao, lakini zinakataza kampeni kabla ya muda uliowekwa rasmi ambao ni baada ya wagombea wa nafasi husika kupitishwa na vikao vya chama hicho.
Vigogo hao ambao tayari walishapewa barua za kuitwa mbele ya kamati hiyo ni pamoja na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye.
Pia wamo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba.
Kwa mujibu wa kanuni husika viongozi hao wanaweza kuchukuliwa hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufungiwa kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho kwa miezi sita, 12 au 18, ikiwa watapatikana na hatia katika tuhuma zinazowakabili.
Hata hivyo, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema jana kuwa, Kamati Ndogo ya Maadili haina uwezo wa kutoa adhabu za moja kwa moja kwa watuhumiwa hao na badala yake inaweza kutoa mapendekezo ya adhabu kwa Kamati Kuu ya Maadili ambayo inaongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
“Kamati ya Mzee Mangula ina mamlaka ya kufuta mashtaka baada ya kumsikiliza mhusika na kupima ushahidi dhidi yake, pale ambapo itaona kwamba pengine mhusika anapaswa kuchukuliwa hatua basi inapeleka mapendekezo katika Kamati Kuu ya Maadili,”alisema Nnauye.

MWANANCHI

BABU SEYA NA MTOTO WAKE PAPII MTOTO WA MFALME WATIBUANA GEREZANI UKONGA SOMA SABABU HAPA LIVE!!

$
0
0

Na Mwandishi Wetu
MAISHA ya uraiani baada ya kutoka gerezani ndiyo mzozo uliopo sasa kati ya wanamuziki mahiri nchini ambao ni baba na mwana, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, Amani limetonywa.

Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitoka Mahakamani.
Chanzo makini kimesema kuwa wawili hao wamefikia hali hiyo baada ya kila mmoja kuanika dira ya maisha yake ya uraiani baada ya kuachiwa kutoka katika kutumikia kifungo cha maisha jela katika Gereza la Ukonga.
MAISHA YAO YANAPISHANA
Kwa mujibu wa chanzo, inadaiwa kuwa Papii Kocha aliulizwa na baba yake maisha yake ya uraiani yatakuwa ya aina gani ambapo bila kupepesa macho alisema atarudia kazi ya muziki kama zamani.
“Ishu kubwa ni maisha ya uraiani, Papii amemhakikishia baba yake kwamba akiwa uraiani ataendelea na muziki jambo ambalo Babu Seya hakubaliani nalo hata kidogo,” kilisema chanzo cha ndani.
Kikaendelea: “Unajua yule mzee (Babu Seya) yeye anaamini kwamba uraiani lazima wabadili staili ya maisha kwa vile kuwa kwao huru kuna mkono wa Mungu kwa hiyo kuendelea kuishi maisha ya kidunia ni kutorudisha shukurani kwake.”
Nguza Viking ‘Babu Seya’ (wa pili kulia) na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ (wa pili kushoto) wakiwa mahakamani.
MSIMAMO WA BABU SEYA
Wakati Papii Kocha akianika msimamo huo kwa baba yake ambao ulisababisha wazozane, mzee huyo yeye ameweka wazi kwamba maisha yake ya uraiani ni ya kumtumikia Mungu mwanzo mwisho.
“Lakini Babu Seya alimlaumu sana mwanaye kwamba kuendelea kufanya mambo ya duniani ni kutomtendea haki Mungu kwa vile nguvu zake ndiyo mwanga wa maisha yao mapya,” kilisema chanzo.
HAYA YOTE YAMEKUJAJE?
Chanzo kilisema mambo hayo yote yameibuka kufuatia rufaa zote za wafungwa hao kupigwa chini na hivyo hatima yao kuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’ ambapo wanaamini wapo huru tayari kinachosubiriwa ni siku tu.
Chanzo: “Unajua imani ni kitu cha ajabu sana. Yeye (Babu Seya) anachoamini wapo huru tayari, ila siku ndiyo ya kuvutia subira lakini pia anaamini mbali na msamaha wa JK, Mungu anatenda.”
BABU SEYA ATATUA KANISA LA LIFE IN CHRIST
Dodosa zaidi za ndani zinaweka wazi kwamba, msimamo wa Babu Seya kwa maisha ya uraiani ni kuabudu kwenye Kanisa la Life in Christ Ministries (Zoe) lililopo Tabata Segerea jijini Dar ambako ndiko anakotoa huduma mtoto wake aliyeachiwa huru katika kesi hiyo na Mahakama ya Rufaa Tanzania, Nguza Mbangu.
Babu Seya na Papii Kocha wakiwa nje ya mahakama.
NGUZA MBANGU AONGEA NA AMANI
Baada ya taarifa zote hizo, juzi Amani lilimtafuta Nguza Mbangu ili kumsikia alichonacho kuhusu maisha ya baba yake uraiani, hasa suala la kuokoka na kumrudia Mungu.
Mbangu: “Suala la kuokoka ni la Mungu mwenyewe akiamua kumvuta mtu. Kama nia ya moyo wake ni hiyo basi ina maana mzee (baba) ameshavutwa.
“Kwanza nataka nikwambie kitu Ndauka, siku zile baba na Papii waliposhindwa rufaa magazeti yaliandika sana, ooooh! Babu Seya na mwanaye kufia jela. Mimi nakwambia hivi, suala la baba na Johnson (Papii) watu wamekuwa wakiliangalia kimwili.
“Mimi ninachojua wale wapo huru hata leo hii (juzi Jumanne), nilishakwambia siku za nyuma na leo narudia tena, Tanzania itamshangaa sana Mungu kupitia wale watu (Babu Seya na Papii).
“Tena nakuahidi kwamba, siku si nyingi, pengine mwezi huuhuu. Yaani, sijui nikwambiaje, nitakupigia simu, nadhani keshokutwa (leo Alhamisi), ndipo utajua nilikuwa namaanisha nini,” alisema Mbangu kwa kujiamini.
TUREJEE NYUMA
Juni 25, 2004, Babu Seya, Papii Kocha, Nguza Mbangu na Francis Nguza walihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na kuwanajisi watoto 8 wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar. Hukumu hiyo ilitolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu chini ya Hakimu Eddy Lyamuya. Walikata rufaa Mahakama Kuu.
Januari 27, 2005 rufaa yao ya kwanza ilisikilizwa ambapo Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Thomas Mihayo aliitupilia mbali.
Februari 10, 2010 Mahakama ya Rufaa ilikazia hukumu ya Kisutu kwa Babu Seya na Papii Kocha, lakini ikawaachia huru watoto wengine wawili wa mwanamuziki huyo, Nguza Mbangu na Francis Nguza.
Mwaka 2013 Babu Seya, Papii Kocha kupitia kwa wakili wao Mabere Marando waliwasilisha maombi ya kupitiwa upya kwa rufaa ya hukumu yao, lakini jopo la majaji watatu, Nathanieli Kimaro, Salum Masatu na Mbaruk Salim walikazia hukumu ya mwanzo baada ya hoja za serikali kuzizidi zile za upande wa utetezi.

NA HII NI TAARIFA MAALUM YA SERIKALI KUHUSU MGOMO WA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI.

$
0
0

TAARIFA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) KUHUSU MGOMO WA WAFANYABIASHARA



Mamalaka ya Mapato Tanzania inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wafanyabiashara kwa ujumla Kuwa inasikitishwa na mgomo wa wafanyabishara kwa kufunga maduka maeneo mbali mbali nchini.
Ifahamike kuwa Matumizi ya mashine ya EFD ni jambo la kisheria na lilipitishwa na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2011.
Pamoja na sheria kupitishwa, viongozi wakuu wa nchi walikwisha litolea tamko kwa nyakati tofauti kwa kuanzia na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete katika hotuba yake ya kufunga mwezi wa Machi 2011.
Pia Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohammed Gharib Billal alikazia jambo hili tarehe 8 Mwezi November mwaka 2013.
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda alilitolea tamko pia Mwezi…
Mamalaka ya Mapato Tanzania inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wafanyabiashara kwa ujumla Kuwa inasikitishwa na mgomo wa wafanyabishara kwa kufunga maduka maeneo mbali mbali nchini.
Ifahamike kuwa Matumizi ya mashine ya EFD ni jambo la kisheria na lilipitishwa na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2011.
Pamoja na sheria kupitishwa, viongozi wakuu wa nchi walikwisha litolea tamko kwa nyakati tofauti kwa kuanzia na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete katika hotuba yake ya kufunga mwezi wa Machi 2011.
Pia Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohammed Gharib Billal alikazia jambo hili tarehe 8 Mwezi November mwaka 2013.
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda alilitolea tamko pia Mwezi Desemba 2013 wakati akiahirisha Bunge kwa kusisitiza msimamo wa serikali kwa utekelezaji wa kisheria wa matumizi wa mashine za EFD.
Tarehe 29 Janauri 2014, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya Salum aliweka bayana msimamo wa Serikali kwa kusisitiza kuwa Matumizi ya mashine za EFD ni swala la kisheria na litaendelea kutekelezwa kwa mujibu wa sheria akisisitiza kuwa muda wa mwisho wa nyongeza kwa wafanyabishara kununua mashine ilikuwa ni Tarehe 31 Januari 2014 baada ya kuongeza muda mara tatu kwa nyakati tofuati.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pia kwa nyakati tofauti na maeneo tofuati imelitolea tamko jambo hili na itaendelea kufanya hivyo.
Kwa masuala ya kiutendaji yaliyolalamikiwa yamefanyiwa kazi na yanaendelea kufanyiwa kazi ikiwemo utoaji wa Elimu kwa umma.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inapenda kuwafahamisha wafanyabiashara na umma kwa ujumla kuwa watu wanaolazimisha wafanyabishara wenzao kufunga maduka kwa kuwatishia na kuwashurutisha wanavunja sheria kwa kusababisha uvunjifu wa amani nchini na hivyo mkono wa sheria utawafikia.
Pia imefahamika kuwa baadhi ya watu wanaoshurutishwa kufunga biashara sio walengwa bali hutumika kuhalalisha azma ya wale wenye nia mbaya TRA imekuwa ikipokea taarifa na maombi kutoka kwa baadhi ya wafanyabishara na wananchi wema wakiomba ulinzi ili wafungue maduka yao na kufanya biashara maana ndio ajira yao na mahali pakujipatia riziki ya kila siku.
Ifahamike kwamba wale wote wanaoshinikiza na kulazimisha wenzao kugoma wanavunja sheria kwa kuwalazimishwa wafanyabiashara kugomea agizo halali la kisheria hivyo kwa wale wote wanaotishiwa au kushurutiswa watoe taarifa kwa kupiga simu namba zifuatazo 0786 800 000, 0713 800333, 0800 110016 au barua pepe info@tra.go.tz

“PAMOJA TUNAJENGA TAIFA LETU” IMETOLEWA NA KAIMU KAMISHNA MKUU MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA

THE BONGO & MAJANGAZ: ONA SASA HUYU MWANAFUNZI WA UDOM NAYE AJITOSA KUTUPIA PICHA ZAKE ZA UTUPU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII HAWA WADADA MGANGA WAO AMENASWA NA SEMBE CHINA WALLAHI LE MBURULAZZZZ!!

OK ONA THE MAJANGAZ NA HIZI NDIO NCHI 5 DUNIANI AMBAZO WANAUME WAKE WANAJUA MAMBO YA ROMANCE NA VALENTINE DAY KULIKO ZOTE CHECK KAMA BONGO IMO MTUWANGUZZZ!! AU TUNASHITUKIWA MAGUMASHI!!

$
0
0










Here are the countries where you may just meet the man who will turn those movie fantasies of yours into reality:

1. Argentina: It’s part of the South American continent where men more passionate and fiery. They consider themselves more capable of wooing the female population than any other group of men could. Their confidence alone is already impressive, isn’t it?
2. Brazil: When God created the most attractive and sexiest human beings on earth, I think He intentionally distributed most of them in this country. Brazil is home to numerous beaches where you can find the best bikini bodies around. It’s like a Victoria’s Secret Fashion Show everyday. It’s also the location where you can find some of the most romantic and sexiest men in the world. Brazilian men take their emotions seriously and they often translate them in sensual samba moves. They are definitely not shy about their sexuality. So, make sure you work on your samba moves before you visit Brazil.





3. France: The country that has a national language called, “la langue de l’amour,” or the language of love. This country is also famous for a certain French kiss. French men are known to be very affectionate and showy about their appreciation. Although they’ve got quite a temper, you’ll still find them endearing and irresistible.
4. Spain: Home of the bullfighters, tomato festivals, and endless paellas. Although this country has embraced modernization, it kept its culture and religious traits intact. The majority of the population’s religion is Roman Catholic. So when a Spanish man falls in love with you, you’re guaranteed that there’s no other woman involved. They believe in monogamous relationships and “til death do us part.”
5. Lebanon: It’s an Arab country that has openly welcomed modernization. Lebanese men are known to be very generous with gifts of jewelry, chocolate, and other material things just to show affection.
So, have you decided where to go to on your next vacation? It’s okay to mingle with the opposite sex as long as you know your limitations and you maintain your boundaries.

SO BONGO LABDA TUNAONGOZA KWA MIKOROGO AFU UKIONA HIVI UJUE INALIPA YAANI HUYU MBURULAAAZZZZ LIMEJIKOBOA MPAKA LINATIA URUMA!! BADALA YA KUFURAHIA NATURAL LE MBURULAZZZ!!


MKURUGENZI WA DELINA GROUPS INC. SUPER MOGUL DAVIS MOSHA KULETA HII KITU MACHINE ALICHOKINUNUA ALIPOKUWA MAMEBLEEZZZ HIVI KARIBUNI ONA HAPA KITI YA AJABU LIVE!!

$
0
0
Super Mogul Davis Mosha live at the Showroom in Los Angeles Carlifonia/USA today.

LEO KUMEKUCHA KESI YA MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA NA CHAMA CHAKE MAHAKAMA KUU HAPATOSHI LEO LIVE!!

$
0
0

Dar es Salaam. 
Kesi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe dhidi ya chama chake hicho inatarajiwa kuanza kutajwa leo katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.



Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini alifungua kesi hiyo dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema na Katibu Mkuu wa Chadema, akiiomba mahakama hiyo ikizuie chama kujadili uanachama wake, hadi rufaa anayokusudia kuikata Baraza Kuu la chama kupinga kuvuliwa nyadhifa, itakaposikilizwa.


Katika kesi hiyo namba 1 ya 2014, Zitto pia aliiomba mahakama hiyo imwamuru Katibu Mkuu wa Chadema ampatie mwenendo na taarifa za Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichomvua nyadhifa zote alizokuwa nazo ndani ya chama na iwazuie walalamikiwa kumwingilia katika utekelezaji wa majukumu yake kama Mbunge wa Kigoma Kaskazini.


Kesi hiyo ambayo inasikilizwa na Jaji John Utamwa imepangwa kuanza kutajwa leo kabla ya kupangiwa tarehe ya kuanza kusikilizwa rasmi.

Tayari mahakama imeshatoa amri ya zuio la muda kwa Chadema kumjadili na au kuchukua uamuzi wowote kuhusu uanachama wake.


Uamuzi huo ulitolewa Januari 7 na Jaji Utamwa, kutokana na maombi ya Zitto, kupitia kwa Wakili wake Albert Msando.


Awali mawakili wa Chadema, Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu na Mkurugenzi wake wa Katiba, Sheria na Haki za Binadamu, Peter Kibatala walipinga maombi hayo wakidai kuwa hayajakidhi matakwa ya kupewa zuio la muda.

Katika uamuzi wake, Jaji Utamwa alikubaliana na hoja za Wakili Msando kuwa maombi hayo yametimiza matakwa yote ya kupewa zuio hilo.
CHANZO NI MWANANCHI

SUPER STAR AGNESS MASONGANGE AFUNGUKA LIVE NA KUWACHANA WANAUME VICHECHEZ WA HAPA MUJINI BONGO SOMA ALICHOSEMA LIVE!!

$
0
0

 
Agnes Gerald Waya ‘Masogange’.
Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema kuwa ana mtu wake.  

Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu atoke Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu, wanaume wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu ambacho hakubaliani nacho.
 
“Sitaki kutongozwa kabisa, waniache. Kinachonikera zaidi wanaonitongoza wengi wanatambua kabisa nina mchumba wangu (Evance), watu wengine sijui wapoje!” alisema Masogange.

TANGAZO MAALUM KAMPUNI MPYA YA ULINZI UZINDUZI.

$
0
0

INTRODUCING SECURITY COMPANY.
Inbox
x

Keinno Fast Security Guardkeinnofast@hotmail.com

10:14 AM (32 minutes ago)

Good day,

Warm greetings from Keinno fast security guards and Happy new year 2014.

I' am happy to take this opportunity to introduce the new company in security industry under the name of "KEINNO FAST SECURITY GUARDS".  

It is a Federal Government Licensed Private Security Company. In this area of general insecurity 
arising from increase in crime waves, the company has set itself the task of ensuring safety of 
lives and properties of its clients. KEINNO Company is thus committed to a mission of 
protecting you and your organization. 

KEINNO is a company specializing in the provision of a wide range of security consultancy and 
guard services to corporate organizations and high value individuals. In specifics, the company 
undertakes the provision of security consultancy, guards training, intelligence gathering, supply, 
installation and maintenance of modern electronic security devices. 

Our reputation is founded on the ability to deliver services comparable in standard to that 
obtained in the country. We are available for any follow up discussion, as we look forward to an opportunity to demonstrate to you our professional expertise and competence. 

Please accept our sincere appreciation for your kind attention. 

Yours faithfully, 
For: KEINNO FAST SECURITY GUARDS.  

Kelvin Mwakapesa.
Chief Executive Officer,CEO.
Keinno fast security guard L.t.d
P.O. Box 62657 Dar Es Salaam, Tanzania. 
Mob: +255 753 950 440 / 717 547 721.

MWENYEKITI WA SIMBA RAGE AFUNGUKA KUPOKEA BARUA 3 TOKA FIFA IJUIE MOJA NI YA NANI HAPA LIVE!!

$
0
0



Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limetuma barua tatu tofauti kwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, moja ikiwa ni ile inayomhusu Emmanuel Okwi ambaye sasa yuko Yanga.
Moja ya barua ambazo Rage amepewa kopi na Fifa ni ile ambayo Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa), limemuomba Okwi kurejea Uganda na kuitumikia timu ya taifa katika michuano ya kimataifa.

Pamoja na barua hiyo, Rage amethibitisha kupokea barua hizo tatu kutoka Fifa ikiwemo ile ya Etoile du Sahel ya Tunisia kuomba kuongezewa muda wa kulipa deni la dola 300,000 wanazodaiwa na Simba kutokana na mauzo ya Okwi.

“Kweli nimepokea barua hizo, moja ni ile ambayo Etoile ambao mwezi huu ndiyo ulikuwa mwisho kulipa dola 300,000, sasa wameomba waongezewe muda hadi Septemba, mwaka huu ili waweze kulipa.
“Fifa wao wamenitumia kopi lakini barua hiyo ni kutoka kwao Etoile kwenda Fifa na wamethibitisha kwamba ni kweli Simba inawadai,” alisema Rage.
Barua ya tatu kati ya hizo kwa mujibu wa Rage ni ile ambayo inaonyesha namna klabu hiyo ya Tunisia ilivyomshitaki Okwi kwa Fifa kutokana na kuonyesha kukiuka mambo kadhaa wakati akijua mkataba wake nao unamalizika mwaka 2016.
“Katika ile barua ya kuhusiana na suala la kulipa, Fifa wametaka tusaini na kukubali kwamba sasa mwisho utakuwa Septemba 30 na tayari barua hiyo nimeikabidhi kwa Hans Pope,” aliongeza Rage.
Tayari Okwi yuko nchini na Yanga imemsajili ingawa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeamua kusimamisha usajili wake hadi litakapopata ufafanuzi kuhusiana na usajili wake.
Wakati Fifa ilitoa kibali kwa Okwi kucheza SC Villa ya Uganda kwa miezi sita, lakini Yanga ikamnunua na kuingia naye mkataba wa miaka miwili, suala ambalo limezua mzozo mkubwa huku Simba wakiendelea kusisitiza kulipwa fedha zao ambazo mwanzo walimuuza na hawakulipwa. 
Okwi amekuwa akisisitiza kwamba anataka kuichezea Yanga ambayo imemsajili, huku akieleza amekuwa akiumia moyoni kuona wenzake wakicheza naye akiwa jukwaani kama mtazamaji.
SOURCE: CHAMPIONI

YONO AUCTION MART & CO. LTD PUBLIC AUCTION

LIVE..WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA.

$
0
0

5
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne Mcintosh, akizungumza na Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika katika mpango mkakati wa kubadilishana nao mawazo na uzoefu katika shughuli za biashara na masoko katika ukanda wa Afrika.
Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz ukanda wa Afrika ni kutembelea kampuni hiyo kubwa na ya siku nyingi ya magari hapa duniani na kuangalia aina mpya za bidhaa ambazo zipo sokoni na kupata kujifunza kazi mbalimbali za kijamii ambazo kampuni hiyo ya CFAO Motors inafanya hapa Tanzania.
Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika kutoka nchi za Rwanda, Sudan, Afrika Kusini na nchi zingine wamekuja nchi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu na wamefanikiwa kujifunza shughuli mbalimbali za ufundi na utendaji kazi wa kampuni ya CFAO Tanzania.
6
Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika pia walipata fursa ya kuangali akarakana ya kampuni hiyo kwenye maeneo ya Vingunguti na kuona shughuli za ufundi kwa magari yao ambapo wateja ambao wanaharibikiwa na magari wanaweza kupata huduma hiyo kwenye karakana ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
7
Mkurugenzi wa Biashara wa CFAO Motors, Charles-Edouard CAMBOURNAC akitoa maelezo kwa Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika.
DSC_0789
Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika wakitembelea eneo linalotoa huduma ya kutengeneza kwa teknolojia ya hali ya juu magari ya wateja wa kampuni hiyo pindi yanapopata hitilafu.
DSC_0842
Baadhi ya magari ya wateja wa Kampuni ya CFAO Motors yakisubiri kuhudumiwa.
1
Mkurugenzi Mtendaji wa CFAO Motors, Wayne Mcintosh (katikati) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Biashara wa CFAO Motors, Charles-Edouard CAMBOURNAC, wakati wa Ziara ya kujifunza kutoka Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika. Kushoto ni Meneja Masoko wa CFAO Motors, Bi. Tharaia Ahmed.
3
Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufika makao makuu ya kampuni hiyo.
8
Baadhi ya kikundi cha wamasai walioburudisha Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika kwa kucheza ngoma za Kimasai.
DSC_0721
Baadhi ya Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika wakichukua kumbukumbu za matukio kwenye simu zao wakati kikundi cha Kimasai kilipokuwa kinatoa burudani.
DSC_0708
Meneja Masoko wa CFAO Motors, Bi. Tharaia Ahmed akifurahi jambo na mmoja wajumbe hao.

MBEEBZ MKAREEZ KULIKO WOTE UKO MAMBELEZ LONDON/UK AZIDI KUWATESA WABONGO NA MITINDO YA KUVAA ONA ALICHOVAA LEO LIVE!! SUPER JESTINA GEORGE MKAREEZZZ!!

LE MBEBEZ MKAREEEZ U KNOW MY SUPER FRIEND SUPER FORTU UNAJUA MBEBEZ NI MABASTOLA U KNOW KAMA VIPI UKO MAMBELEZZ MJIPANGEZZZ MISSS U SANA MINGI BABY!!

MUSWAADA WA KUPINGA USHOGA KUSAINIWA UGANDA

$
0
0
ug_e861f.jpg

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema atasaini muswaada tata unaopinga ushoga na kuwa sheria kamili.
Hatua hiyo inaelezwa kuwa ni onyo kwa wanaotetea vitendo vya mahusiano ya jinsia moja kuwa watashughulikiwa vikali nchini humo.
Mwezi uliopita kiongozi huyo alipanga kuachana na muswaada huo ambao umekuwa ukikosolewa vikali na wahisani kutoka mataifa ya Magharibi na wanaharakati wa haki za binaadamu tangu ulipowasilishwa mwaka 2009. Mapenzi ya jinsia moja ni mwiko katika mataifa ya Afrika na kinyume cha sheria kwa mataifa 37.

Wasiwasi wa mashoga wa Afrika
Wanaharakati wa haki za binaadamu wanasema Waafrika wachache waliojitangaza kuwa mashoga, wanahofu ya kufungwa, kukabiliwa na vurugu na kupoteza ajira zao.

Wakati wa mkutano wake na chama tawala nchini Uganda NRM kundi la wanasayasi liliwasilisha utafiti wao kuhusu mapenzi ya jinsia moja kwa rais Museveni. Msemaji wa mkutano huo, wa NRA Anite Evelyn katika taarifa yake alisema kuwa "Museveni alitangaza atasaini muswaada huo kwa vile swali lile la iwapo mtu anaweza kuzaliwa shoga au hapana limejibiwa".
Uchunguzi wa mawaziri
Katika taarifa yake kamati ya mawaziri iliyokuwa ikilifanyia uchunguzi suala hilo ilisema Ijumaa (14.02.2014) hakuna vinasaba vya mapenzi ya jinsia moja na kwa hivyo si ugonjwa lakini ni tabia isiyo ya kawaida ambapo mtu anaweza kujifunza tu kwa kupitia uzoefu katika maisha.
Katika mkutano na chama tawala cha NRM, Mshauri wa Rais katika masuala ya Kisayansi, Dokta Richard Tushemereirwe alimwambia kwamba "mapenzi ya jinsia moja yana athari kubwa kwa afya za watu kwa hivyo si jambo la kuachwa liendelee hata kidogo".
Muswaada wa kupinga uhusiano wa jinsia moja uliwasilishwa bungeni mwaka 2009, ambapo awali ulikuwa ukipendekeza adhabu ya kifo kwa wanaoshiriki vitendo vya ngono kwa watu wa jinisia moja, lakini ukafanyiwa marekebisho kwa kuweka adhabu ya vifungo vya awamu gerezani na maisha kwa kile kilichotajwa kuwa mapenzi ya jinsia moja ya kuchochewa.
Rais Museveni alisisitiza kuwa , wahamasishaji, wanaojionesha na wote wanaoshiriki vitendo vya ngono kwa watu wa jinsia moja kwa sababu za ukaidi wa kutumwa , hawatavumiliwa na watakabiliwa vikali.
Chanzo, dw.de/swahili

LE MUTUZ LIVE SAFARI YA KURUDI ACCRA/GHANA KUTOKA LAGOS KAMA VEPE KUMBE NA HUKU NAKO KUNA MABEBEZ WA UKWHEEEZ U KNOW I LOVE IT!!

DIAMOND NA AY SASA WAJIINGIZA KWENYE KILIMO, SOMA UJUE ZAIDI

$
0
0
Diamond na Ay wamepanda pipa kuelekea Afrika kusini na wengi wanadhani jamaa  wameenda kupiga show lakini taarifa ni kwamba jamaa wameenda kuongea na organization moja huko inayoitwa ONE na kazi ya hii organization ni kutokomeza umaskini uliokithiri na magonjwa  yanayozuilika hasa kwa nchi za Afrika.Tegemea makubwa kutoka kwenye hii safari sababu tayari kuna wasanii wengine wameshafanya makubwa hasa kwenye sekta ya kilimo.
AY-Diamond
Msanii kutoka Nigeria , D’banj ni mmoja kati ya member wa One na alitembelea wakulima wadogowadogo wa zao na cocoa nchini Ghana na kujionea inavyokua kua mkulima mdogo. D’banj aliweza kuanza shughuli ya kilimo huku akiwa hana hana namba moja ya soko la zao lake na aliweza kujifunza thamani ya kilimo.

Processed with VSCOcam with g3 presetDbanj Ghana vibe Tanzania 3Processed with VSCOcam with g3 preset
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>