Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

MWILI WA MAREHEMU AMB. FULGENCE M. KAZAURA WAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

$
0
0


 Waombolezaji wakisukuma jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), marehemu Balozi Fulgence Kazaura ulipowasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni hii , kutoka India. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akiwafariji ndugu wa marehemu
 Ndugu jamaa na wafanyakazi na aliye kushoto ni Dereva wa gari la kubeba mwili huo  wakifunua jeneza kwa utambuzi  wa  mwili wa marehemu Kazaura mara ulipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni hii , kutoka India.
Wakiutoa nje tayari kwa kuondoka uwanjani hapo kupelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Kairuki, Mikocheni
 Mwili ukipakiwa kwenye gari tayari kupelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Kairuki, Mikocheni,kulia ni dereva wa gari litakalo beba mwili

Wakitoka Uwanjani hapo

MBUNGE WA CCM ASHANGAA KURA YA SIRI BUNGE LA KATIBA ONA ALICHOSEMA LIVE!!

$
0
0


Hata siku moja hakuna atakayenishawishi kwamba kura muhimu kupitisha Katiba iwe ya siri wakati kura ya kupitisha Bajeti inakuwa ya wazi. Kura ya kupitisha Bajeti linaitwa jina moja moja. Kwenye Katiba iwe hivyo ili tuwajue waliposimama wajumbe wetu na tuwahoji kwa kura zao. Labda walioteuliwa na Rais wapige kura za siri. Mimi ningependa watu wa Bumbuli waijue kura yangu na nikaielezee kwao na niwajibike nayo.

NA HII NDIO HABARI YA MAMBELEZZZ HALAFU UKIRUDI BONGO MZUNGU KUDADEKII TENA LIVE!!

VIDEO YA KWANZA JINSI MFANYABIASHARA MAARUFU MUJINI BONGO ALIPONASWA JANA AKITAKA KUMLAWITI MODO WA KIUME LIVE!!

MR. CHAIRMAN JUMA PINTO LEO ALIPORUDISHA LIVE FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI NCHINI UTAKAOFANYIKA JUMAPILI HII LIVE!!

MBUNGE MAARUFU WA CCM MBEBEZ AFUNGUKA LIVE ON MAKOLOKOSO NA MAUZA UZA YA BUNGE JIPYA LA KATIBA LEO TENA LIVE!!

$
0
0

"Nimeamua kutoka nje (kuepusha shari) baada ya Mbunge mwenzangu wa chama cha CUF kunitukana (kaniita mshenzi) kwa jazba baada ya kumsihi asizomee wakati mbunge mwingine anachangia hoja yake bungeni. Hata hivyo nilichojifunza hapa ni kwamba, kama hatutakuwa na dhana ya kuvumiliana miongoni mwetu na kukubali kusikiliza hata lile usilopenda kusikia, basi kwa hakika mkutano huu unaweza usiishie kwenye heri"
 

NOW ON THE BONGO AND MAJANGAZ:- LE KICHAA MWANAUME ALIPOGOMEA KUSHUKA GARI LA MTU IKABIDI AENDESHE NAYE DOWNTOWN BILA KUPENDA KUDADEKII ATA MWAKA-INSTAGRAM HAWAJFIKIA THIS ONE U KNOW TENA LIVE MITAA YA JAMHURI LEO LIVE!!!!

LEO BLOGGERS SHAMIM + BUKUKU + KAJUNA WATAFUNGUKA LIVE ON THE MBONI TV SHOW SO CHECK THEM OUT WAPO LIVE!!

$
0
0

Usikose kuangalia kipindi cha 'The Mboni Show' kinachoruka leo Alhamis kuanzia saa 3 usiku ndani ya EATV, ambapo mablogger Shamim Mwasha wa 8020fashion blog (wa kwanza kulia), John Bukuku wa Fullshangwe Blog (wa pili), na Cathbert Angelo Kajuna wa Kajunason Blog pamoja na mwanadada machachali Mboni Masimba ambaye ni mwendeshaji wa kipindi, watakuwa wanazungumzia masuala mbali mbali ya maendeleo ya blog pamoja na mustakabali mzima wa mitandao ya kijamii.


LE MBEBEZ MKAREEZZZ MAMBELEZZZ DMV/USA KULIKO WOTE AZIDI KUWASUMBUA WANAUME VICHECHEZ BIN MICHEPUO CHECK THIS OUT LIVE!!

THE BONGO & MAJANGAZ:- LE MBURULAZZ PLAYING KHANGA MOKO LAKI SI PESA MAADILI ZERO FROM SUPER MBURULAZZZ LIVE!!

$
0
0


wanawake wacheza jukwaani nusu uchi, balaa tupu, kanga moko, kanga moja, jionee mwenyewe,
 
Hii ni sehemu za baadhi ya picha zilizoonesha nini kilichofanyika katika ukumbi wa Theophilo Kisanji Tabora ikiwa ni moja ya Show zilizoambatana na Shindano la kumsaka Miss & Mr.Kamna 2013   Haikuwa salama hata kidogo kwa baadhi ya wanaume walioingia katika ukumbi wa Theophilo Kisanji.
 

wanawake wacheza jukwaani nusu uchi, balaa tupu, kanga moko, kanga moja, jionee mwenyewe,
 
Umati mkubwa uliofulika katika ukumbi huo wakishangazwa na Show ya Khanga M0ko laki si Pesa.

LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK TO THE MBURULAZZZ ON THE PRODUCTIVITY OF MITANDAO YA KIJAMII GET REAL PEOPLE!!

$
0
0
Leo it was a day to say good bye to my Bilionea Friend Investor Mr. John from Pretoria, South Africa I am humbled kuliko maelezo na I thank my God, now it is my turn to pay back the respect kwa kwenda huko kwao na very soon will be going!!


@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- JANA NILIKUWA DODOMA KUWAPELEKA INVESTORS TOKA SOUTH AFRICA KUONANA NA MAWAZIRI MBALI MBALI AKIWEMO HUYU HAPA PICHANI WAZIRI WA AFYA DR. SEIF AT WIZARA YA AFYA DODOMA, HAWA NI MATAJIRI WAKUBWA WANAOTAKA KUSAIDIA SEKTA MBALI MBALI NCHINI NA NIMEWAJUA THROUGH HII HII MITANDAO,

 

- MY POINT NI KWAMBA TUNAWEZA KUITUMIA HII MITANDAO YA KIJAMII KWA FAIDA YA TAIFA NA ZETU WENYEWE AU TUNAWEZA KUKALIA UMBURULAZZZ NA KUJA HAPA KURUSHA RUSHA MANENO YASIYO NA FAIDA KWA MTU BINAFSI WALA JAMII, NINARUDIA TENA WANANCHI WA TANZANIA KWENYE HII MITANDAO KUMEJAA MAMBO MENGI SANA MAZURI KWA MFANO MAJUZI NILIKUWA WEST AFRICA, KULE NIMEENDA KWA SABABU YA KUKUTANA NA WAWEKEZAJI KUPITIA HII HII MITANDAO, JAMANI WABONGO TUAMKE KWENYE HUO USINGIZI MZITO SANA TULIOLALA WA KUDHANI MITANDAO NI MAHALI PA KUJA KUONYESHA UJUZI WA MATUSI NA KUBISHANA KUHUSU VYAMA VYA SIASA ASUBUHI MPAKA SAA YA KULALA, KUMBUKA SISI TUNAENDELEA KUITUMIA MITANDAO HII HII KWA FAIDA YETU BINAFSI NA TAIFA, HALAFU UTAKUJA KULALAMIKA KWAMBA TUMEBEBWA NA MAJINA, SIJUI TUMEBEBWA NA CCM, KUMBE NI UMBURULAZZZ WAKO MWENYEWE WA KUTOTAKA KUJISHUGULISHA KUFIKIRI KIDOGO TU AU KUULIZA KWA WALE TUNAOJUA NAMNA YA KUITUMIA MITANDAO YETU, JAMANI MCHANA MWEMA!!- LE MUTUZ


NA HII NDIO HABARI KAMILI YA SUPER STAR KAJALA KUNYWA SUMU MAJUZI SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0

Kajala MasanjaStaa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amejikuta katika hali mbaya kufuatia kunyweshwa sumu na mtu ambaye hakuweza kufahamika mara moja.

Tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili iliyopita maeneo ya Tegeta jijini Dar katika Klabu ya Seventy One ambayo alikwenda kujiachia na marafiki zake.


Chanzo cha uhakika, kilipenyeza habari kuwa, Kajala alinyweshwa sumu hiyo kupitia kwenye glasi ambayo aliwekewa juisi ambapo haikuweza kufahamika mara moja kuwa aliwekewa kabla au baada ya mhudumu kumpa huduma.


“Unajua mambo ya klabu tena, kila mtu alikuwa bize na mambo yake, hivyo hatukuweza kugundua mara moja kuwa nani alihusika, lakini tulishangaa ghafla Kajala alijisikia vibaya hivyo marafiki zake wa karibu walimkimbiza nyumbani kwao kisha hospitali,” kilisema chanzo hicho.


Baada ya paparazi wetu kuzinyaka habari hizo, Jumanne iliyopita (juzi) alimtafuta Kajala ambaye alikuwa amejipumzisha nyumbani kwa njia ya simu, akaeleza kwa shindashinda jinsi tukio hilo lilivyokuwa:


“Ilikuwa Jumapili usiku, nilikuwa nimekaa na washkaji zangu pale klabu akiwemo Mubenga, sasa niliagiza juisi pale nikaanza kunywa, funda la kwanza…la pili nikaanza kujisikia vibaya.

“Nilisikia kama kichefuchefu, nikatoka nje ambapo hali ilizidi kuwa mbaya. Marafiki wakashauri nirudishwe nyumbani, nako hali ikazidi kuwa mbaya.
“Wakanipeleka hospitali ambapo madaktari waliponipima walinambia nimekunywa kitu chenye sumu hivyo wakanipa dawa za kuondoa sumu mwilini na nashukuru Mungu, naendelea vizuri.”

Alipoulizwa kama ana ufahamu wowote juu ya aliyehusika na kama anaweza kumchukulia hatua zozote, Kajala alisema anamuachia Mungu kwani anaendelea vizuri. “Mimi nashukuru bado napumua, siwezi kujua aliyefanya hivyo alikuwa na dhumuni baya kwangu au iliingia kwa bahati mbaya, naendelea vizuri,” amesema.

POST YA KWANZA YA INSTAGRAM ALIYOPOST OSTAZ JUMA NA MUSOMA IKIHUSISHA KWANINI KAMDHARILISHA PNC..!!



Kutokana na kitendo kilichotokea kati yake na PNC hiki ndicho alichofunguka katika akaunt yake ya Instagram


You might also like:
- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2014/02/post-ya-kwanza-ya-instagram-aliyopost.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FhgdRs+%28Onelove+Tz%29&utm_content=FaceBook#sthash.AC317Ze0.dpuf

POST YA KWANZA YA INSTAGRAM ALIYOPOST OSTAZ JUMA NA MUSOMA IKIHUSISHA KWANINI KAMDHARILISHA PNC..!!



Kutokana na kitendo kilichotokea kati yake na PNC hiki ndicho alichofunguka katika akaunt yake ya Instagram


- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2014/02/post-ya-kwanza-ya-instagram-aliyopost.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FhgdRs+%28Onelove+Tz%29&utm_content=FaceBook#sthash.AC317Ze0.dpuf

THE MAJANGAZ:- TIZAMA MWISHO WA DUNIA ULIVYOKARIBIA HUYU NI KIONGOZI WA DINI YA MASHETANI LIVE!!

$
0
0


Pichani ni kiongozi maarufu wa dini ya Mashetani (Illuminati)
Akihutubia kwamba wanampango wa kutawala dunia nzima! ikiwa
wameshashika maeneo muhimu kama, Muziki, Filamu, Internet
na nyanja za mapato kama Bank" nk.

Sasa unakubali aliyoyasema huyu??
 

 "I AM FOR GOD"
BREAKING NEWZZZZZ  Pichani ni kiongozi maarufu wa dini ya Mashetani (Illuminati) Akihutubia kwamba wanampango wa kutawala dunia nzima! ikiwa wameshashika maeneo muhimu kama, Muziki, Filamu, Internet na nyanja za mapato kama Bank" nk.  Sasa unakubali aliyoyasema huyu?? Sasa sisi Fan's wa Tznews 70 tuwaonyeshe kwamba tunaongozwa na kutawaliwa na nguvu za Mungu  Ndani ya Dakika 2 Comment "I AM FOR GOD" usisahau kushare hii Post. Tafadhali naomba usidharau hii Post, tuungane kwa pamoja kuwaonyesha kwamba sisi ni wa Mungu na Mungu ndiyo mwenye uwezo wa kutawala.  "I AM FOR GOD" usisahau Ku~#Share kwa Wengi!!

LIVEEE!!COMRADE MWIGULU NCHEMBA AFUNGUA KAMPENI ZA CCM-KALENGA KWA KISHINDO

$
0
0
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Godfrey William Mgimwa akibebwa Juu na
Wanachama/wapenzi wa CCM mara baada ya Kuwasili Viwanja Vya Stendi-kata ya Ifunda.
Mapokezi Mazito yakiendelea ya Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara na Kijana Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga Ndugu Godfrey William Mgimwa kwenye uwanja wa Stedi-Kata ya Ifakara hii leo wakati wa Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za Ubunge Jimbo la Kalenga.
 
Mh:Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara akisaini Kitabu akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga Ndugu Godfrey William Mgimwa mara baada ya kuwasili Viwanja Vya Stendi Kata ya Ifunda.Chief Wa Wahehe,Chief Mkwawa ambaye pia ni Kada Mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi akishikana Mikono ya Baraka na Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga Godfrey William Mgimwa,Pia akisalimana na Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba hii leo kwenye Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni kata ya Ifunda-Kalenga.Kubwa zaidi CHIEF MKWAWA ambaye ni Mtoto wa Marehemu Mkwawa alikuwa anakanusha taarifa kuhusu Yeye Kuunga Mkono Chadema,Amesema hawezi kuunga Mkono chama ambacho hakieleweki kuanzia muundo wake na hata maamuzi yake ndani ya Chama.Yeye ni MwanaCCM damu damu,na ameapa atafia CCM.
 Msanii Dokii ambaye ni kada wa Chama Cha Mapinduzi akitumbuiza kwenye ufunguzi wa kampeni wa Jimbo la Kalenga kwa Chama Cha Mapinduzi.Dokii ametunga wimbo rasmi kwaajili ya Kalenga na Umuhimu wa Kijana Godfrey William Mgimwa kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,
 Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Iringa Vijijini Ndugu Mtatulu akionesha baadhi ya Mitego inayodaiwa kuwekwa na Vijana wa CHADEMA kwenye njia ili Magari ya CCM yanayozunguka kwenye Kampeni yapata matatizo.Pia Ndugu Mtatulu alitaja majina ya Wahusika na ameshayapeleka Polisi kwa hatua zaidi za kisheria.
Naibu katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akiteta Jambo na Kijana Godfrey William Mgimwa ambaye ni Mgombe Ubunge Jimbo la Kalenga.
Wabunge wa Iringa(Wilaya+majimbo) wakitoa neno la kuomba Kura kwa Wananchi Wa Ifunda ili wamchague Mgombe wa CCM Kijana Godfrey William Mgimwa.
 Ni Naibu Katibu Mkuu CCM_Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na mamia ya Wananchi waliofurika Viwanja Vya Stendi Kata ya Ifunda hii leo kuhudhuria Mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa Kampeni za Ubunge Jimbo la Kalenga(CCM).Mh:Mwigulu Nchemba amewaomba Wananchi wa Kalenga kumchagua Kijana Godfrey William Mgimwa kwa sababu anakila sifa za kuwatumikia Wananchi wa Kelenga,Lakini pia  ni Kijana aliyependekezwa na Chama kuanzia ngazi ya Chini hadi Taifa kwa mtindo wa Kura za maoni na amewashinda wenzake 9.
Mh:Mwigulu Nchemba amesisitiza kuwa Kwa namna Marehemu Mgimwa alivyolitumikia Jimbo lake na kuiletea Heshima Nchi yetu na Jimbo la Kalenga,kuna kila sababu ya Kuipa nafasi CCM iendelee kutekeleza Ilani yake ndani ya Jimbo hilo.Mh:Mgimwa tangu kufariki kwake Vyama vya siasa vimekuwa mstari wa mbele kumsifia kutokana na Utendaji wake Kuanzia Wizara ya Fedha hadi Jimboni kwake hasa upande wa Miundombinu,Maendeleo yote yaliyofanyika ndani ya Jimbo la Kalenga ni Matunda ya sera nzuri za CCM na Ilani ya CCM ndani ya Jimbo hilo.
Pia Mwigulu amezungumzia kuhusu Amani na Mshikamano ulipo kwa Wananchi wa Kalenga ni lazima uendelee kudumishwa,Kitendo cha kukaribisha wapinzani kwenye jimbo hili ni sawa na kukaribisha Vurugu kwasababu Wapinzani hasa Chadema katika Taifa hili hawana rekodi nzuri ya kudumisha amani kwenye maneo wanayoongoza. 
Kubwa zaidi Mh:Mwigulu Nchemba ameendelea kuwaomba Wanakalenga kufanya Kampeni za  Ustaarabu,Kampeni za Amani na Utulivu.Kwa MwanaCCM kufanya Vurugu sio Jambo jema,bali tutumie Amani tuliyonayo kuwaelimisha hata wenzetu wa Upinzani kufanya siasa za kistaarabu,Waache michezo ya Kusababisha Vifo kwa Wananchi wasio na hatia yoyote ile.Siasa safi ni zile za Kupambanisha Sera na Uwezo wa Kujenga hoja majukwaani.
Hivyo tar.16/03/2014 Wanakalenga Wote wanajitokeze Kupiga Kura na Kumchagua Mgombea wa CCM Kijana Godfrey William Mgimwa kwa maendeleo ya Wote Wanakalenga.

Kijana huyu ameamua kurudisha Kadi ya Chadema baada ya Somo zuri Kutoka kwa Mh:Mwigulu Nchemba kwenye Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni Jimbo la Kalenga.
Naibu Katibu Mkuu CCM_Bara Mh:Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kalenga Ndugu Godfrey Mgimwa hii leo kwenye Ufunguzi wa Kampeni Jimbo la kalenga.Uchaguzi unategemewa Kufanyika tar.16/03/2014.
Picha zote  na Habari kwanza Blog

HAYA HUKO MWAKA-INSTAGRAM KIMENUKA TENA LEO KULE NI BALHAAAA SASA PROMOTA ALIYEMDHALILISHA MSANII MBURULAZZZ NAYE AJIBU MVUA YA MATUSI ALIYENYESHEWA LEO HUKO LIVE!!

$
0
0
Kutokana na kitendo kilichotokea kati yake na PNC hiki ndicho alichofunguka katika akaunt yake ya Instagram



LE BONGO TMABALALEZZZ WALLAHI I LOVE IT ONA HAPA SUPER MODEL HOT KULIKO WOTE BONGO SASA HIVI WALA AINA UBISHI!! KUDADEKI UKO MAMBELEZZZ MTASUBIRI SANA U KNOW!! LOVE U MORE HAMISA MOBETO MKAREEZZZ LIVE!!

HUKO MWAKA-INSTAGRAM LILE BIFU KUBWA LILILOANZA JANA LAZIDI KUSHIKA MOTO ONA LEO KILICHOJIRI LIVE!!

$
0
0
Kwa kitendo cha jana kilichotokea cha fan page ya ka facebook ya Kala Jeremiah kumponda na Diamond na kumsifia Ally kiba na mwisho wa siku kuhusisha maswala ya mikopo. kama hukuisoma post hiyo itazame HAPA. Leo kupitia akaunti yake ya instagram kalla afunguka meni na kusema haya

Nanukuu alichokisema Kalaa Jeremiah "dUNIA HAINA USAWA. KUNA WATU WALIIBA PAGE YANGU YA FACEBOOK INAYOTUMIA JINA LA KALA JEREMIAH NA INA PICHA HII. MATAPELI HAO WAMEKUWA WAKIITUMIA PICHA HII KWA LENGO LA KUNICHAFULIA JINA.WAMEKUWA WAKIWEKA MATANGAZO YA MIKOPO NA SASA WAMEAMUA KUWEKA TANGAZO LAO LA MIKOPO KWA KUTAJA BAADHI YA MAJINA YA WASANII WAKUBWA.poleni sana wana mlioguswa na sakata hilo NILISHATANGAZA KARIBU KILA REDIO YA TANZANIA KUHUSU KUIBIWA KWA PAGE HII NA KUWA INATUMIWA NA MATAPELI.LAKINI KUNA BAADHI YA MASHABIKI WANAHISI BADO NAITUMIA MIMI MWENYEWE. NAOMBA UNISAIDIE KUSAMBAZA UJUMBE HUU.NA KAMA MTU ANATAKA KUNIPATA FB NILIFUNGUA PAGE MPYA YA FB INAYOITWA KALA0444 AU UNAWEZA UKA CLICK KWENYE LINK HAPO KWENYE BIO YANGU.WATU WALIOIBA PAGE YANGU HAWANA LENGO LINGINE ZAIDI YA KUNICHAFUA NA KUNIHARIBIA LAKINI MUNGU WANGU HALALI WALA HANA LIKIZO NINACHOWAAMBIA WATU HAO NI...........nilipoanza muziki mama alisema nijilinde kwa kusali, akanipa maji ya baraka biblia na rozali, muziki wangu haukujengwa kwa tofali, unayewaza kuubomoa nakuchinja kwa mistari. #WALEWALE"

NOW THIS IS WASAP WITH COMING UP SATURDAY DOWN WITH SUPER DEEJAY PETE MOE!! SOMA HAPA UONE WHAT IS DOWN BEHIND THE GLASS STARTING AT GOLDEN TULIP TO EAST 24TH GRILL & BAR LIVE!!

$
0
0



"Windhoek Draught-Party! This Saturday, 1st March! DJ Tibz & DJ Mr. Tee (From Kenya) DJ Peter Moe at Golden Tulip Marquee! Starts 7pm! The Party Continue with Grooveback Dj's Peter Moe, KT, Krucial, Toni & Dj JB @ East 24 Bar & Grill #KamaKawa
—"

TANGAZO MAALUM LA KAZI SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:-BLOGU YA WANANCHI TUNAKWENDA NATIONAL SASA YAANI OUR PRESENCE KILA MKOA MOROGORO NA TANGA, WAO WAMEANZA RASMI LEO NIA NA MADHUMUNI NI KUWAHABARISHA WANANCHI 75% HABARI ZA MIKOA YAO NA ILIYOBAKI KUTOKA TAIFA!!
- IN THE NEXT TWO WEEKS THE GOAL NI KUWA NA PRESENCE KWENYE KILA MKOA, SO KAMA UNAIWEZA HII BLOGGING BUSINESS NA UPO TAYARI PLEASE CALL ME AT + 255 717 618 997 ANYTIME, LETS GO TO WORK PEOPLE!!, USIKU MWEMA SANA!!
- LE MUTUZ

YALIYOJIRI LEO BUNGENI NA MJADALA WA KURA ZIWE ZA SIRI AU WAZI ONA HAPA IDEO YA KWANZA LIVE!!

$
0
0


 

Mjadala mkali umeibuka katika siku ya 11 ya Bunge la Katiba mjini hapa leo kati ya wajumbe wanaotaka kanuni ziruhusu kura ya siri na wale wanaotaka kura ipigwe kwa uwazi.

Dodoma. Mjadala mkali umeibuka katika siku ya 11 ya Bunge la Katiba mjini hapa leo kati ya wajumbe wanaotaka kanuni ziruhusu kura ya siri na wale wanaotaka kura ipigwe kwa uwazi.
Rasimu ya kanuni zitakazoongoza uendeshaji wa Bunge hilo iliyowasilishwa jana imeshauri wajumbe wapewe haki ya kupiga kura kwa siri, kama ilivyo katika mchakato wowote wa kidemokrasia.
Mapema leo, mwanasiasa machachari Christopher Mtikila aliunga mkono ushauri huo, akisema “Kura siku zote ni ya siri.” “Haina mjadala, kwa sababu ndio msingi wa demokrasia.”
“Lazima kura ya siri, manake sheria haitaki kushurutishana,” alisema mbunge wa Viti Maalum wa CCM, Esther Bulaya.
Wajumbe wengine, akiwemo mwakilishi wa taasisi za kidini, Sheikh Mussa Kundecha, wamesisitiza kuwa kura ya siri itawapa wajumbe nafasi ya kufanya maamuzi kwa uhuru.
“Kura ya siri ni muhimu sana ili kuwaacha watu wakiwa wamoja, na ndiyo itakayotutoa hapa tukiwa wamoja, tena kwa heshima,” alisema Sheikh Kundecha.
Hata hivyo, hoja hiyo ya kura ya siri ilipingwa vikali na baadhi ya wajumbe, akiwemo Zainab Gama, anayesema:
“Na unayetaka siri manake kuna mtu amekuleta hapa, au na rushwa ushakula sasa unaona aibu kutangaza.”
Kutokana na uzito wa mjadala huo wa kura, mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho, alilazimika kusogeza mbele muda wa kumaliza kikao hicho hadi saa tatu usiku.
Pamoja na hatua hiyo, Bunge hilo lilishindwa kupata muafaka kuhusu kura itapigwa vipi, wala kanuni zipi zitatumika kuliendesha.
Hali hii ililazimisha Bunge hilo maalum liahirishwe hadi Ijumaa, Februari 28, saa 11 jioni ili kuipa kamati inayoandaa kanuni nafasi ya kuzifanyia majumuisho mnamo asubuhi.
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>