Mrisho Ngasa akipambana na mlinzi wa Mbeya City Deogratius Julias katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo Yanga imeshinda kwa bao 1-0, bao hilo pekee likifungwa na Ngasa kunako dakika ya 15 ya mchezo.