Huu ni baadhi ya utafiti uliowahi kufanywa na mmoja wa watu wa karibu wa Swahilitz,
na kugundua kuwa kuna mambo ambayo siyo lazima yawepo ili kupunguza foleni inayoikabiri jiji la Dar es Salaam, Kwanza kitu cha kwanza siku hizi mtu akipata pesa anakimbilia Kununua gari hakumbuki hata kiwanja., ila vile vile utakuta... Mtoto ndio kwanza amemaliza chuo UDSM na amebahatika kupata kazi pale EPZA karibu na mabibo hostel ila hajaanza kujitegemea, huyu ana gari lake
Baba ni manager wa crdb bank branch ya mlimani city, huyu nae ana gari lake Mama ni mjasiriamali ana maduka Mwenge, huyu pia ana gari lake Sasa asubuhi wakitoka nyumbani kila mtu anatoka na gari lake wakati safari yao ni moja, wangeweza kutumia gari moja, wakaanza kumdrop mtoto kazini, akafata baba then mama akabaki na gari coz ni wa mwisho, kila mtu angetumia gari lake siku zenye uhitaji kama weekend.
Source:- Swahiltz