Chama cha Demokrasia na Maendeleo,CHADEMA leo kimepata pigo jipya baada ya kupoteza wanachama wake 92 wakiongozwa na katibu wao ndugu Simon Mpandalume...
Mdau wetu toka Dodoma ametuarifu kuwa wanachama hao wamefikia maamuzi ya kurudisha kadi za CHADEMA na kujiunga na CCM kutokana na kukerwa na hatua ya chama hicho kumvua Zitto Kabwe nafasi zote uongozi