The new TV Boss. |
Wageni waalikwa. |
Mgeni wa heshima Naibu Waziri wa Mawasiliano Mheshimiwa Janurary Makamba akusibiri kufungua rasmi TV hiyo ya Azam. |
Sample ya vifaa vitakavyotumika katika kuuza products za TV Azam. |
Maelezo ya gharama za kuwa na cable box ya Azam TV na malipo yatakavyokuwa kwa mwezi na Channel 50 utakazopata kwa kulipia Shillingi Elfu 12 tu!! |
Le Mutuz na Mmiliki wa Azam and Azam Media Groups Bilionea Omar Bakhressa, ambaye pia alikuwepo kushuhudia the history in the making. |