$ 0 0 Big Daddy V enzi za uhai wake.Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake.Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.