Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA NDO WANACHAMA WA FREEMASON HAPA TANZANIA

Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600 wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu, huku ikielezwa kwamba miongoni mwao hakuna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIBA: MCHEZA MIELEKA MAARUFU KAMA BIG DADDY V AFARIKI DUNIA JANA

Big Daddy V enzi za uhai wake.Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake.Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARD WORK PAYS...SALIM KIKEKE KUTOKA KIJAKAZI MIGODINI MPAKA MTANGAZAJI BBC

 - SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI Dk Wayne Dyer, mtaalamu wa masuala ya uchumi na mwandishi wa vitabu katika kitabu chake cha Ufanye nini ili kupata unachokiazimia anasisitiza kuwa Mtafutaji makini huwa...

View Article

ZENGWE LA POSHO LAZIDI KULIZONGA BUNGE LA KATIBA

Kwa ufupiHuku rasimu ya kanuni za Bunge la Katiba ikitishia kuwanyima posho nono ya Sh 220,000 kwa siku wajumbe watakaoshindwa kuheshimu kiti, baadhi ya wabunge wameanza kunung’unika kiwango hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIMENUKAZZZ MWAKA-INSTAGRAM USIKU HUUU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA MAMEN WOTE WALIOKUWA WANAFUKUZIA HII TOTOZ,UDAKU UNASEMA HIVI!!!!

Hatimaye Agness Gerald au Agness Masogange ameamua kuachia picha za waubani wake ila mumfam na muache kumsumbua. tazama picha hizo hap chini

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE USIKU HUU SUPER STARZ WA BONGO WAKIFANYA YAO ON SWAHILIWOOD

 Usiku wa kuamkia leo SWAHILIWOOD waliandaa uzinduzi wa Filamu tatuNETWORK, MDUNDIKO na SUNSHINE, Uzinduzi wa filamu hizi tatu ambazo zitaingia soko mwishoni mwa mwezi huu zikisambazwa na kampuni mpya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR USIKU WA WAPENDANAO "Valentine's Day"...

Lubea wa Skylight Band alitega mingo lango kuu la kuingilia na kugawa Shots za Tequila pamoja na Sambuka bure kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita na kila Ijumaa ya wiki wapo Thai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BBC WILL RUN AN EXCLUSIVE INTERVIEW WITH HON MOHAMMED DEWJI (MP) TODAY AT...

Don’t miss an Exclusive Interview of BBC World TV with Hon; Mohammed Dewji (MP) on Friday this week, the Interview will be part of African Business Report  a  new weekly business TV show on BBC World...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KURASA ZA LEO ZA IJUMAA FEB 21, 2014 ZA UDAKU, MICHEZO NA HARD NEWS .

  ......................................millard ay

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZ!!! KIPANYA NA ROLI USO KWA USO

WATU wanne wapo katika hali mbaya na wengine saba wamejeruhiwa baada ya lori scania namba T653 BFD  (scania 380) kugongana uso kwa uso na baso dogo la abiria Toyota Hiace T613 CPG iliyokuwa inatoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BADY NEWZ KWA ULIMWENGU,MISS UTALII APIGWA RISASI

The 22-year-old was shot in the head byarmed men on motorbikes during a demonstration in Valencia Tragic: Genesis Carmona A young beauty queen yesterday became the fifth person to die in violent...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGAZII.... HAYA NDIO MAZINGIRA YA AKINA DADA WALIOKIMBIA BONGO NA KWENDA...

Hizi ni baadhi ya picha zinazo onyesha jinsi kina dada kutoka barani afrika wanavyo fanya biashara ya kuuza miili yao iliwaweze kujikimu kimaisha, kwani wengi wamekuwa wakienda uko kwajili ya mambo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rooney agrees finer details to £300,000-a-week United contract

Wayne Rooney has agreed the fundamental details of his new £300,000-a-week contract at Manchester United but the deal has been held up by haggling over image rights.It is understood that the United...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Familia yaishi chooni ni baada ya nyumba yao kuezuliwa na upepo wilayani Hai,...

 Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai. Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKRAINE HALI TETE

 Mawaziri wa mambo ya nje wa Muungano wa Ulaya, wameamua kuwawekea vikwazo washukiwa wa ghasia zinazoendelea nchini Ukraine.Waziri wa Italia, Emma Bonino, amesema kuwa watu aliowataja kuwa na damu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA WADAU WA TEHAMA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John Mngodo akiogea na wadau wa Tehama wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau hao jana jijini Dar es salaam.Mtendaji Mkuu wa Wakala ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MAKAMBA ATAKA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI

             Raisa Said, Bumbuli   MBUNGE wa Jimbo la Bumbuli, January  Makamba amewataka wanawake na vijana wa Jimbo hilo kuanzisha vikundi vya ujasiriamali ili waweze kupata mikopo kutoka taasisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAHARAKATI ATAKA SERIKALI KUSITISHA MCHAKATO WA KATIBA

Raisa  Said, Tanga Katika hatua inayotishia mchakato wa upatikanaji katiba mpya, mwanaharakati mmoja wa Tanga amefungua shauri linaloitaka serikali kusitisha mchakato  hadi hapo itakapofanyia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA 4 WA 2013 HAPA....

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIACSEE 2013 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIESBOFYA HAPA

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>