Usiku wa kuamkia leo SWAHILIWOOD waliandaa uzinduzi wa Filamu tatu
NETWORK, MDUNDIKO na SUNSHINE, Uzinduzi wa filamu hizi tatu ambazo zitaingia soko mwishoni mwa mwezi huu zikisambazwa na kampuni mpya ya PROIN PROMOTIONS.
Director Jackson kabirigi katikati akiwa na timu yake. Mwongozaji huyu ni moja kati ya watu maarufu nchini na ulimwenguni katika tasnia ya filimu, pia ameweza kupata nafasi ya kushinda tuzo kati ya filamu zilizo zinduliwa usiku wa kuamkia leo.
Jackson kabirigi kulia akiwa na Thimos Condrad
Jackson kabirigi kulia akiwa na Ben Poul ambaye pia amecheza kama muhusika mkuu katika filamu ya SUNSHINE iliyo tengenezwa na kampuni ya Karabani.
Hawa ni wadahu wakubwa katika tasnia ya filimu na muziki wa bongo DADY na KU. |
Jackson kabirigi kulia akiwa katika pozi. |
Dada Jenny kutoka MFDI |
FEYSAL na wadau wa Ms corner |
CHECHE akiwa na KARABANI |
DAVAO akiwa na shabiki wake |
IRINE POUL kushoto akiwa na CHECHE |
IRINE POUL |
MS CORNER akiwa na IRINE POUL |
IRINE POUL akiwa na DUMA |
Mtangazaji wa clouds fm Ephram Kibonde |
BIG MATOVOLO |
MAKINI SOUL akiwa anashirija jambo flani katika moja ya maongezi. |
MAKINI SOUL akiwa BIG MATOVOLO |
SHILOLE akiwa na BEN POUL |
JB akiwa na shababiki wake |
SHILOLE akiwa na BEN POUL |