Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR USIKU WA WAPENDANAO "Valentine's Day" NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE

$
0
0
DSC_0416
Lubea wa Skylight Band alitega mingo lango kuu la kuingilia na kugawa Shots za Tequila pamoja na Sambuka bure kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita na kila Ijumaa ya wiki wapo Thai Village.
DSC_0419
Mashabiki wa Skylight Band wakipata shots za Tequila bure kwenye usiku maalum wa wapendanao uliofana Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0435
Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye usiku wa wapendanao juma lililopita huku akisindikizwa na Mary Lucos, Sony Masamba na Sam Mapenzi.
DSC_0611
Wadadaz na Wakaka wakijimwaga na burudani ya Skylight Band.
DSC_0448
Walipendezaje...: Digna Mbepera akifanya yake jukwaani.
DSC_0491
MAJEMBE YA SKYLIGHT BAND....Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo katika hisia kali kwenye nyimbo za malavidavi huku akisindikizwa na Joniko Flower pamoja na Sony Masamba.
DSC_0628
Palikuwa hapatoshi....kama ulikosa juma lililopita basi burudani inaendelea leo pale pale Thai Village.
DSC_0503
Birthday Girl....Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (katikati) sambamba na Winfrida Richard pamoja na Digna Mbepera waking'ara kwa jukwaani kwenye usiku wa Valentine's Day juma lililopita.
DSC_0637
Mheshimiwa Bundala anakwambia burudani ya Skylight Band ni Gym tosha, kama anavyoonekana pichani akisebeneka na mrembo.
DSC_0514
Nakupenda pia...Nakupenda Pia...... Collabo ya Ukweeli kati ya Hashim Donode na Winfrida Richard njoo Ijumaa hii usikie kwa masikio yako.
DSC_0525
Surprise.....Ilipotimia saa sita kamili ya kuamkia tarehe 15/2 alizaliwa Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47, waimbaji wenzake waliamua kumuimbia wimbo wa Happy Birthday na kumtakia maisha marefu.....Hujachelewa sana Ijumaa hii unaweza kum-wish belated Happy birthday na kazawadi kidogo....!
DSC_0527
DSC_0529
Champagne zilihusika na kufunguliwa na Mary Lucos pamoja na Sam Mapenzi.
DSC_0531
Mashabiki wa Skylight Band wakimpongeza Aneth Kushaba AK47.
DSC_0538
Kuogeshwa nako kulihusika hajalisha umependezaje...lazima uoge kidogo....! Full Champagne....!!!
DSC_0553
Aneth Kushaba AK47 akitoa shukrani kwa Maboss wake pamoja na wadau wa Skylight Band wanaoendelea kuikubali na kuipa Support Band hiyo ya kijanja ambayo kwa sasa ni habari ya mujini.
DSC_0558
Aliwazaliwa mtoto mwingine Birthday Boy Mheshimiwa Bundala shabiki namba moja wa Skylight Band, naye pia alizawadia wimbo maalum wa Happy Birthday.
DSC_0561
Sio jasho jamani ni maji hayo....!
DSC_0567
Sam Mapenzi akimpongeza mdau wao Mheshimiwa Bundala kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
DSC_0573
Burudani iliendelea...Hashim Donode na Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wao juma lililopita ndani ya kiota cha Thai Village.
DSC_0647
Wake kwa Waume wakipata raha za muziki wa Skylight Band kwenye usiku maalum wa wapendanao.
DSC_0663
DSC_0668
Sam Mapenzi akionyesha zawadi kwa Couple watakaocheza vizuri kwenye usiku maalum wa wapendanao uliondaliwa na Skylight Entertainment kupitia bendi yake ya Skylight Juma lililopita.
DSC_0712
Aneth Kushaba AK47 na Sam Mapenzi wakiendesha zoezi la kuchagua Couples iliyocheza vizuri kwenye usiku huo maalum.
DSC_0717
Na hii ndio Couples iliyoibuka na ushindi na kuzawadiwa mjichupa wa Champagne.
DSC_0732
Washindi kwenye usiku maalum wa wapendanao na Skylight Band wakipata Ukodak wa pamoja.
DSC_0734
Skelewu......ndio mpango mzima na Sam Mapenzi.....!
DSC_0761
Shabiki wa Skylight Band akisebeneka jukwaani.
DSC_0815
Mdau wa Skylight Band Emmanuel Francis akionyesha manjonjo yake kusakata moja ya staili ya Band hiyo inayowashinda mashabiki wengi lakini yeye ndio fundi wao.
DSC_0820
DSC_0596
Boss mtoto Eddie akiteta jambo na Birthday Girl Aneth Kushaba pamoja na Mary Lucos.
DSC_0583
Birthday Girl na Birthday Boy wakipongezana.
DSC_0600
Mary Lucos a.k.a Mama Kijacho akipozi kupata Ukodak.
DSC_0604
Wadau wa ukweli wa Skylight Band na MOblog..Shukrani kwa kuikubali kazi ya mikono yangu...Pamoja sana...!!!
DSC_0608
Familia ya Skylight Band ikipata Ukodak.....Imagine wangekuwa mapacha hawa jamaa...!!
DSC_0467
Warembo wa ukweliiii walikuwepo ndani ya nyumba.
DSC_0639
Aneth Kushaba AK47 akipata Ukodak na wadau wa Skylight Band.
DSC_0831
Alosi Ngonyani akipata Ukodak na Mary Lucos.
DSC_0781
Wadau wa Skylight Band nao walikuwepo.
DSC_0792
Birthday Boy Mheshimiwa Bundala  na Alois Ngonyani wakipozi kwa Ukodak.
DSC_0748
Mdau Customer Care ndani ya nyumba,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>