Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

I LIKE THIS MAN... MASANJA MKANDAMIZAJI AWACHANA LIVE WABUNGE WANAO SEMA LAKI 3 NDOGO

$
0
0


“Ingekuwa ni mimi ningeclear mabweni mawili matatu UDOM, Wabunge Bunge la Katiba (wawili wawe wanashea room moja) wangepata pakulala na msosi cafeteria na posho 50,000 kwa siku, usafiri wa to and from bungeni wakati wa session za vikao utatolewa. Option ya pili ni familia 600 za Dodoma kuadopt Mbunge mmoja mmoja kukaa nao kwa miezi mitatu. Familia kuwezeshwa posho ya 500,000 kwa mwezi na Mbunge kupata 80,000/ a day. Anayekataa namkodia helikopta mpaka kijijini kwake anashushwa uwanja wa shule ya msingi ya kijiji wananchi watambue kwanini karudishwa.” – Tahir Haroub Othman”


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>