Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

ROONEY ASAINI KUBAKI MANCHESTER UNITED MPAKA 2019

$
0
0
dddfff
Wapenzi wa Manchester united hii itakuwa habari ya nzuri kwao kwasababu mtu muhimu kwenye kikosi chao amesaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu hiyo kwa muda mrefu zaidi.
Rooney amesaini mkataba wa kuendelea kuwa na club ya Manchester united kwa miaka 4 zaidi ambapo atakuwa hapo hadi 2019.


Picha kwenye instagram ya Man united ambayo inamuonyesha Rooney akisaini mkataba huo pembeni ya kocha wake imepewa caption hii “Great news for #mufc as Wayne Rooney signs a four-year contract extension keeping him at #mufc until June 2019. #rooneymufc” roneeee] rrg

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>