Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

ONA PICHA ZAIDI ZA JINSI SUPER STAR AGNESS MASONGANGE NA MISS TANZANIA WALIVYOWAVURUGA WANANCHI JANA DODOMA LIVE!!

$
0
0

 Miss akiosha kati ya magari yaliyofika kupata huduma ya kuoshwa wakati wa 'CAR WASH GIRLS PARTY DODOMA' iliyofanyika jana mjini Dodoma, ambapo baadhi ya washiriki wa pati hiyo walikuwa ni Masogange, na baadhi ya mamis Tanzania wa mwaka jana.

 Masogange na Mrembo wakisebeneka jukwaani kuonyesha umahiri wao wa kunyonga kiuno, na kuwapagawisha watu waliokuwapo katika pati hiyo walioamua kuinuka vitini na kuwatunza mahela, wakati wa 'Car wash girls party'. 
Warembo waliokuwa vitini walishindwa kuvumilia na kuamua kuinuka na kwenda kutunza kama hivi. 

 Chezesha Kiuno, Chezesha kiunooooooooo......
 Tweeende saaaaaaaasaaaa.....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>