MTANASHATI WA ZAMANI.
Pichani ni Mwanazuoni Nguli, Mchumi Mwenye Uwezo na Msomi Maarufu wa Kitanzania Profesa Justian Ferdinand Rweyemamu ambaye anaonekana Mtanashati Katika Vazi lake la Suti.
Picha hii ilipigwa Mwaka 1965 wakati Profesa Rweyemamu akiwa ni Mwanafunzi wa Uchumi, Hisabati na Falsafa katika Chuo Kikuu cha Fordham huko Marekani ambapo alivunja Rekodi na kuwa Mwanafunzi wa kwanza Chuoni hapo kuhitimu Mwaka Mmoja kabla ya Muda rasmi wa kupata Shahada yake kufika.
Mara baada ya kutoProfesa Justian F Rweyemamu ni Mwalimu wa Wanauchumi Nguli kama Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na Profesa Samuel Wangwe wa Repoa, Rais Jakaya Kikwete pia Amewahi kufundishwa na huyu Gwiji.
Ndiye Mtu ambaye aliumiza Kichwa na Kubuni Mpango Mkakati wa Viwanda vya Tanzania ambavyo vilienea Tanzania nzima na kutoa ajira kwa Vijana miaka ile ya 70, Viwanda husika vilikufa/viliuliwa na Watendaji wake kwa sababu mbalimbali.
Kwa maelezo juu ya Maisha ya Profesa Justian Ferdinand Rwenyemamu pamoja na Watanashati wengine wa Zamani LIKE Ukurasa "Watanzania Mashuhuri" upate kujifunza zaidi.