Mabigwa wa ligi kuu Tanzania bara Young African Sports(YANGA) leo imeichapa Mabigwa wa Misri na Caf Al Ahly bao 1 - 0 nakujitengenezea nafasi nzuri
Bao la yanga lililofugwa kipindi cha pili na Nahodha Nadir Haroub "Cannavarao'' kwa mpira wa kona Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima (Fabregas)akijaribu kumtoka beki wa Al Ahly ya Misri Abled Aziz Kikosi cha Yanga
1. Deogratias Munish “Dida” – . Mbuyu Twite – Oscar Joshua – Nadir Haroub “Cannavaro” – (C). Kelvin Yondani “Cotton” – . Frank Domayo “Chumvi” – . Saimon Msuva – Haruna Niyonzima – Emmanuel Okwi – Mrisho Ngasa – Hamisi Kizza –
Subs:
1. Juma Kaseja Juma Abdul – . David Luhende – Athuman idd “Chuji” – . Hassan Dilunga . Said Bahanuzi –. Didier Kavumbagu
FULLTIME:YANGA 1 VS AL AHALY O