DR. KITILA MKUMBO KIONGOZI ALIYEFUKUZWA CHADEMA AFUNGUKIA KATIBA MPYA NA KURA...
Kitila Mkumbo Hili suala la kura ya siri na wazi sio gumu lakini pia sio rahisi sana. Cha kuzingatia ni kwamba wote waliomo katika Bunge la Katiba wanawakilisha kundi fulani. Makundi haya kwa pamoja...
View ArticleNA HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI YA LEO UBINGWA WA AFRIKA YANGA NA AL-AHLY YA...
Yanga 1 - Al - Ahly 0!Mabigwa wa ligi kuu Tanzania bara Young African Sports(YANGA) leo imeichapa Mabigwa wa Misri na Caf Al Ahly bao 1 - 0 nakujitengenezea nafasi nzuri Bao la yanga lililofugwa...
View ArticleCHADEMAZ KALENGA AIBU TUPU,MWENYEKITI KATA WA CHADEMA AKIMBILIA CCM NA...
Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Mgubika kata ya Nzi wakati wa Mkutano wa kampeni za Ubunge Jimboni Kalenga.Huu ulikuwa Mkutano wa Kwanza katika Mikutano Minne tofauti...
View ArticleTHE MAJANGAZ:- ONA UTAJIRI WA AJABU SANA WA HUYU MUUZA SEMBE MAARUFU...
Hizi ni pesa ambazo zilikuwa bado hazija hesabiwa na zilikuwa zimekadiliwa kuwa Dola Bilioni 18 na baada ya kuhesabiwa zilifikia zaidi ya Dola Bilioni 22.Katika hali ya kushangaza sana Mtu mmoja...
View ArticleMOJA YA VITUKO VYA MCHEZO WA LEO UBINGWA WA AFRIKA BAONA YA YANGA NA MISRI...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mashabiki wa timu ya Simba wameanza tena kung'oa viti vya kukalia uwanjani hapa na kuwatupia Mashabini wenzao wa Timu ya Yanga waliofurika kwa wingi uwanjani hapa,kwa...
View ArticleLE BIG SHOW LIVE LEO AT THE VIP LOUNGE NATIONAL STADIUM AT THE YANGA &...
Bites time at the halftime Le Big Show hanging out with Simba's Boss Kaburu my super friend too I hope you gat this one right my bro!!Le Big Show with Le Kabebez from Kilimanjaro Beer Promotion live at...
View ArticleNA HII NDIO ABARI YA MUJINI BONGO LEO SATURDAY NIGHT LIVE NA SUPER DEEJAY...
Peter MoeWindhoek Draught Nite! In the Mixxx Dj Mr Tee, Dj Tibz & Grooveback Crew... This Saturday 1st March, From 7pm...@ Golden Tulip-Marquee! Bata Continue at East 24 #AlwaysAGreatVibe#TooBig2Miss
View ArticleTHE MAJANGAZ & BONGO:- HUYU MBEBEZ NAYE AAMUA KUJITOSA FACEBOOK ONA...
Ommie de Jurist"Mara moja moja sio mbaya"
View ArticleKUNDI MOJA LA URAIS CCM LAIPIGA UKUTA KWENYE KUMCHAFUA PAUL MAKONDA BUNGE...
BUNGE LAKANUSHA TUHUMA ZA PAUL MAKONDA KUHUSIKA NA WIZI WA SIMU BUNGENI.Kitengo cha ulinzi na usalama cha Bunge kimetoa taarifa ya kukanusha, tuhuma zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii...
View ArticleTHE BONGO & MAJANGAZ:- HABARI YA KWANZA YA MWANAUME KUNASWA AKIFUKUA KABURI...
Na Walter Mguluchuma,Mpanda KataviMtu mmoja alitambulika kwa jina la Richald Clavery 35 Mkazi wa Kijiji cha Ikola Tarafa ya Karema Wilaya ya Mpanda anashikiliwa na jeshi la Polisi baada ya...
View ArticleTHE MAJANGAZ:- SUPER MSANII MAARUFU DUNIANI ARUDISHWA TENA REHAB NA MAHAKAMA...
Baada ya kukaa rehab kwa ajili ya anger management na msimamizi wa rehab hiyo kusema kwamba Chris Brown ameonyesha improvement, bado jaji wa kesi hiyo hakuridhika na ripoti na kumrudisha Chris Brown...
View ArticleNA HILI NDILO TAMKO RASMI LA IKULU YA BONGO ON POSHO ZA WABUNGE WA BUNGE LA...
TAARIFA KUTOKA IKULU (KUHUSU POSHO ZA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA)! Katika siku za karibuni, kumekuwepo na habari nyingi, baadhi zenye kuchanganya umma na nyingine hata zikidai kuwa baadhi ya...
View ArticlePICHA YA KWANZA RAIS JK AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM IKULU LEO LIVE!!
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM ikulu jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro)
View ArticleKUNDI MOJA LA URAIS NDANI YA CCM YAANZA KUTISHIA KUHARIBU BUNGE LA KATIBA...
Bunge la Katiba ngoma nzitoNa Kizitto Noya na Daniel Mjema, MwananchiDodoma. Hofu imetanda kuhusu uwezekano wa kuvunjika kwa Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na hatua ya CCM kutumia wingi wao kutaka...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- MTANGAZAJI MAARUFU WA TV BONGO APATA AJALI MBAYA LIVE!!
Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye...
View ArticleONA WAARABU WAKIWWA WAMEPIGWA NA MSHANGAO BAADA YA KUPIGWA NA KITU CHENYE...
Goli pekee la Yanga jana na waarabu
View Article