Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE KUFURUZ LA MWANA MAKUKA 2014 LIVE AT ESACPE 1 BEACH CLUB LAST SATURDAY WALLAHI APAKUTOSHAZ NOW ONA HAPA LIVE!!

$
0
0


Mwana makuka nu umoja wa wanawake unaojishuurisha na kuwainuwa wanawake wengine katioka sekta ya maendeleo na ujasiliamali kigezo inabidi uwe na "idea" we ni mjasiliamali wa aina gani n a kwa kiasi gani unaweza kuelezea wazo lako kwa watu likaeleweka!

Mshindi wa Mwanamakuka mwaka huu anaitwa Leila Mwambungu  ambaye amejishindiaa shilingi za kitanzania milioni tatu, Leila ni mjasiliamli wa kuuza chakula cha kuku kama mfanya biashara wa reja reja lakini mpaka sasa ni mfanya biasha wa jumla wa chakula cha kuku na kama hiyo haitoshi ameweza kuwa wa kala wa gesi na amefanikiwa kuwa ajiri watu wawili na anawalipa mshaara kama kawaida na ana uwezo wa kumsomesha mtoto wake yote hii ni mwana makuaka iliyomwezesha kwa kuanza kuchukua mkopo kutoka kwao! we wasubiri nini?

Bila kusahu wadhamini wao ambao ni airtel kwa miaka mitatu wamekuwa nao bega kwa bega hivyo basi aitel ilitoa  zawadi ya shillingi Milioni tano........ asikwambie mtu Mwanamakuka ni nzuri unawza kutimiza ndoto zako nje nje unachotakiwa ni kuwa makini na kujiamini kwa unachokitaka kufanya ili uweze kupata mkopo unaoutaka kupitia benki ya wanawake Tanzania women's bank... lkini ngoja niishie hapa matukio mengine utayaona kupitia klwa picha hapa chini......










































Event ya Mwanamakuka, ilifanyika tarehe 15 March, 2014, Escape 1 mikocheni.

Maradi wa Mwanamakuka umeanzishwa Rasmi mwaka 2012, na kikundi cha Unity Of Women Friends. Kwa Malengo ya kumwezesha Mwanamke mwenye uthubutu wa kuwa mjasiriamali, lakini malengo yake hayafikii kwa kuwa mtaji wake mdogo.

Kwa kipindi cha miaka 2, 2012 - 2013, Mradi umetoa Tuzo kwa wanawake 10. 2014 mradi wa mwanamakuka umeona uchukue fursa ya kuwatathmini, washindi wote kusaidiana na Washirika wao ambao ni Benki ya Wanawake TWB, wao pia wanahusika kusimamia na kuhifadhi Tuzo wanazopata.

Mshindi wa mwaka huu ametokana tathmini iliyofanywa na benki ya TWB, kuona Tuzo walizopata zimetumika kwa mahitaji na malengo waliojiwekea. Bi Leyla, ameibuka kidedea na kujinyakulia Tuzo ya million tatu.





Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>