$ 0 0 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amedai bungeni (leo) kwamba mshahara wake hauzidi Shilingi za kitanzania Milioni SITA na akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni wazushi wakubwa.