BREAKIN NEWZZZ:- TANGAZO MAALUM LA MSIBA MZITO LIVE LONDON/UK!!
Tangazo la msiba manchester, Uingereza Jumuiya ya WaTanzania Manchester pamoja na familia ya Bwana Rajab Mbeyu tunasikitika kuwatangazia kifo cha Ndugu yetu / Mtanzania mwenzetu Bw. HASSAN MBEJU...
View ArticleKINANA AICHANACHANA CHADEMA MBEYA, AMALIZA ZIARA KWA KISHINDO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda bajaji tayari kwa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Luanda Nzovwe Mwanjelwa jijini Mbeya akitokea ofisi za CCM...
View ArticleTHE MAJANGAZ & BONGO:- KUMBE UYU SUPER STAR WA BONGO FLEVA ALINASWA NA WIFE...
Mkali wa bongo fleva Abelnego Damian 'Belle 9' Aliwahi kukumbwa na zahma mbaya ya kufumaniwa chumbani na mke wa mtu jambo ambalo lilimalizwa kwa kuminywa chini kwa chini lakini habari hiyo...
View ArticleKAJALA AKWEPA TENA GEREZA AREJEA URAIANI
Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.Kajala sasa anapeta...
View ArticleNA HUYU NDIYE MSHINDI LIVE WA TIKETI YA PILI YA AIRTEL KWENDA LONDON AT OLD...
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando, (Kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kumtangazi ndg. Rashid Jacob Kagomola, mkaazi wa Bukoba mkoani...
View ArticleHAYA NDIO MATOKEO LIVE YA UCHUNGUZI WA POLISI ON KUCHOMWA MOTO KWA OFISI ZA...
Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa ofisi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kusema wanachama wa Chama hicho ndio waliohusika.hata hivyo, Mbunge wa...
View ArticleFLASHBACK THIS IS WHAT USED TO BE MY HOME AT ONE TIME IN MY LIFE I MEAN 30...
With The Manager of the Ships Mv. Liemba & Mv. Mwongozo, Mr. Abel, at Kigoma Port Live leo. Inside MV. Liemba, this Ship was once my second home in the 80s, it was an emotional trip back after...
View ArticleHATARI,WALINZI WA VIONGOZI WA CHADEMA WAGOMA,WATOA TAMKO KALI HILI HAPA
TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARINdugu Wanahabari,Awali ya yote kwa jina naitwa Jumanne Samwel , ni mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo mwenye kadi namba 0154352 ya mwaka 2007,nimekuwa...
View ArticleWAZIRI MKUU WA CCM PINDA AWASHUKIA LIVE WANAOMZUSHIA KUHUSU MSHAHARA WAKE!!
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amedai bungeni (leo) kwamba mshahara wake hauzidi Shilingi za kitanzania Milioni SITA na akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni wazushi wakubwa.
View ArticleWAZIRI MKUU WA ZAMANI WA CCM AZIDI KUIKOMALIA RUSHWA NCHINI!!
Sumaye:Rushwa nchini tatizo linaloathiri maisha ya wengiWaziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye Rushwa ni tatizo linaloongezeka kwa kasi na kuumiza uchumi, wananchi na linavunja heshima na hadhi ya...
View ArticleNINI NGUO YA HESHIMA KWA OFISI ZA TANZANIA? MBEBE KUTOKA MAMBELEZZZ AIONJA...
Juliet Mlingwa"Whats wrong with our country?! Why do they insist on what they call respectable clothing in some Government departments? What is it meant to achieve? Today I went to the Immigration...
View ArticleLE MUTUZ BIG SHOW LIVE AT THE NEW TEMPORARY OFFICE PUGU ROAD AND BACK TO THE...
Le Mutuz Live at Pugu Road at the new temporary office for the new Company.
View ArticleTAARIFA RASMI YA UDSM KUSIMAMISHWA RASMI KWA UONGOZI DR. KITILA MKUMBO WA...
Kwa siku za karibuni, vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini vimetoa taarifa kuhusu kuvuliwa uongozi kwa Dkt. KitilaMkumbo ndani ya chama cha siasa kiitwacho Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleHIZI NDIO PICHA CHADEMA WAMEZITUMIA LEO KUONYESHA DR. SLAA AMEPOKEWA KWA...
Mara baada ya kuchukua na kukabidhiwa fomu ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa alisema "nipeni urais ning'oe...
View ArticleMAPYA YAANZA KUZUKA KUFUTIA KIFO CHA PAUL WALKER!!
Jasmine Pilchard-Gosnell (23), alipowasili nyumbani kwa Paul Sant Barbara kwa ajili ya msiba.Paul Walker enzi za uhai wake (kushoto) na Jasmine Pilchard-Gosnell.Wakati watu wakiwa na huzuni bado...
View ArticleASKARI WA JESHI ZANZIBAR ANASWA NA SEMBE KIBAO!!
Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Kamishna Mussa Ali MussaJESHI la Polisi Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya limemtia mbaroni askari wa Kikosi cha KMKM, Hussein Soud Hussein (30) baada ya...
View ArticleLIVE HIZI NDIZO KAZI ZINAZOLIPA KISAWA SAWA HAPA BONGO!!
Without oil, gold or any other major minerals, there are indeed jobs that pay high salaries to the holders and this article is all about bringing to your attention what those kinds of jobs are and how...
View ArticleRAIS JK ASAFISHA VYOMBO VYA DOLA ZANZIBAR LIVE!!
Awali, Mungulu alikuwa Mkuu wa Ufuatiliaji na Tathmini (CID) na baada ya Manumba kustaafu Novemba 11 mwaka huu, aliteuliwa kukaimu nafasi hiyo.Dar es Salaam. Katika kile kinachotafsiriwa kuwa ni...
View ArticleANALYSTS OPINION ON WHY TANZANIA'S OPPOSITION IS WEAK!!
Tanzania’s opposition politics is weak, analysts say, asserting that two decades after the re-introduction of multiparty democracy, no political outfit has emerged as a credible, strong alternative to...
View Article