This morning leaving my house for Chalinze to support my jirani he lives on third door from my home but he is also mgombea wa ubunge kwa CCM Chalinze, Mungu anasema mpende jirani yako kwanza!! |
A ride in a Range Rover Sports it was super just like fying U know!! |
My jirani mgombe wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya CCM Mh. Ridhiwani J. Kikwete live at Chalinze mchana huu kwenye uzinduzi rasmi wa kampeni. |
Omar Kimbau Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi/CCM Taifa, Chairman Juma Pinto, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi, Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Pwani Mh. Vulu |
Chairman Juma Pinto with Mgombea Mh. Ridhiwani live at Chalinze!! |
Chairman Juma Pinto & The Janguoz Idd & Wife. |