Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

WATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA SABA WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI NA BODABODA MKOANI LINDI LEO

$
0
0
http://2.bp.blogspot.com/-Bz5XAf4OQ3M/UynVcAmZwwI/AAAAAAAFVDw/LqK4lnroSY8/s1600/6c860f6e21505f03e949e445344bc6c8.jpgWatu wawili wamefariki dunia leo baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali hiyo katika kijiji cha Ngongo mkoani Lindi  na abiria saba walijeruhiwa.
Majina ya marehemu na ya majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja. Picha na Abdulaziz Video.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles