$ 0 0 Hii ndio picha ya habari kamili ya leo ya kampeni za Chadema kwenye jimbo la Chalinze tena live!!Ridhiwani Kikwete: Safari ya kuomba ridhaa ya kuwawakilisha Wanachalinze— at Chalinze - Pwani - Tanzania."Kampeni zangu za Ubunge kuomba ridhaa ya kuwawakilisha Wanachalinze ili kushiriki nao kama Mbunge katika kuliendeleza jimbo letu. (Machi & Aprili 2014). Na Kazi iendelee."