$ 0 0 Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel ,ma bar na kumbi za starehe, Nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama machangudoa, nini hasa tatizo ?? CREDIT-MATUKIO TANZANIA