Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LIGI KUU ENGLAND: SPURS WAICHAPA SOUTHAMPTON

$
0
0
Last gasp: Gylfi Sigurdsson hits a late winner to give Tottenham all three points against Southampton
 Msumari wa mwisho: Gylfi Sigurdsson alifunga bao la ushindi kwa Tottenham dhidi ya  Southampton
Winner: Substitute Sigurdsson celebrates scoring the winning goal for Spurs
 Mshindi:  Akitokea benchi,  Sigurdsson alishangilia kwa furaha baada ya kuifungia bao la ushindi  Spurs
Level: Christian Eriksen (left) and Roberto Soldado celebrate after the midfielder scores his second goal
 Msawazishaji: Christian Eriksen (kushoto)  na Roberto Soldado wakipongezana baada ya kufunga bao la pili leo hii
Brace: Christian Eriksen (right) scored his second goal of the game to pull Tottenham level
 Mtu chali!: Christian Eriksen (kulia) akitia kambani bao la pili la kusawazisha la Tottenham 
Opener: Jay Rodriguez (centre) slots the ball past Hugo Lloris to give Southampton a 1-0 lead
 Mfungaji wa bao la kwanza leo: Jay Rodriguez (katikati) akimfunga kipa wa Spurs  Hugo Lloris kufunga na kuwapa Southampton  bao la kuongoza
Nice one! Rodriguez (9) is congratulated Lallana after his strike in the first half
Nzuri sana kaka! Rodriguez (jezi namba 9) anapongezwa na Lallana  baada ya kufunga bao

TOTTENHAM ikiwa katika moto kwasasa chini ya kocha wake Tim Sherwood imeilaza mabao 3-2 Southampton katika mchezo wa ligi kuu soka nchini England.
Bao la dakika 90 la Gylfi Sigurdsson limewafanya Tottenham wapumue na kuibuka na ushindi muhimu zaidi leo.
Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Christian Eriksen katika dakika 31 na 46.
Mabao ya Southampton yalifungwa  katika dakika ya 19 kupitia kwa Jay Rodriguez na dakika ya 28 kupitia kwa Adam Lallana
Kikosi cha Spurs leo hii: Lloris 6; Naughton 4, Kaboul 5, Vertonghen 5.5, Rose 6; Dembele 5 (Sigurdsson 46, 7), Bentaleb 6; Lennon 6 (Townsend 71) Eriksen 8, Chadli 5; Soldado 6.5
Kikosi cha Southampton: Boruc 6; Clyne 5.5 (Chambers 46, 5.5), Lovren 5, Fonte 5.5, Shaw 6; Davis 6, Cork 6, Lallana 7.5; Ward-Prowse 6, Rodriguez 6.5 (Ramirez 63, 6); Lambert 7 (Gallagher 89) 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>