Sintofahamu ya suala zima la meno ya tembo bado ni kitendawili nchini Tanzania , baada ya ripoti ya mwandishi wa Uingereza kuhusu meno ya tembo. Suala ni kwamba je meno yaliopo kwenye ghala la Tanzania ubusara wake ni kuyatateketezwa au la?
Itakumbukwa kuwa jirani zetu wa Kenya waliruhusiwa kuuza meno yao , lakini Tanzania ikawa ngumu , sasa nini hatima ya meno haya? tuungane na gazeti la Mwananchi kwa taarifa kamili ya uchunguzi wa mwandishi wa Daily Mail la Uingereza. Bofya hapa.
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Mwandishi-Uingereza-aibua-mapya-meno-ya-tembo-Tanzania/-/1597296/2255352/-/item/1/-/hotvq6/-/index.html