Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI AFANYA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI TANZANIA

$
0
0
gm1Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier akishuka katika ndege mara baada ya kuwasili nchini katika uwanja wa ndege Terminal I jijini Dar es Salaam Jana.Waziri huyo alikuja nchini kufanya ziara ya siku moja.gm2Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Bernard Membe (kulia) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier mara baada ya kuwasili nchini  jana jijini Dar es Salaam 
gm3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier  alipomtembele Ikulu jana.gm4Waziri wa Maliasili na Utalii wa Lazaro Nyarandu akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier(kulia)  kuhusu masuala ya ujangili na utalii. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Frankfurt Zoological Society Dkt. Christof Schenck gm6Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo wa pili kutoka kushoto akifuatilia hotuba ya : Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier wa Ujerumani (hayupo pichani) alipotembelea Chuo  Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana jijini Dar es Salaam. 
Picha na Frank Shija -  Afisa Mawasiliano Serikalini,WHVUM

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>