WASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA...
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wauzaji wa vinywaji vya Windhoek na Climax, Mama Benadetha Rugemalila akikabidhi baadhi ya misaada kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya...
View ArticleSAMWEL SITTA ASISITIZA KUWA BUNGE LA KATIBA LITATUMIA MUDA ULIOPANGWA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amewataka wajumbe wa Bunge hilo kutambua kuwa muda wa kuwapo kwa Bunge hilo umewekwa kisheria, hivyo inabidi kazi ya kutunga Katiba imalizike ndani...
View ArticleSATELLITE SPOTS POSSIBLE DEBRIS FIELD IN SEARCH FOR FLIGHT 370
Kuala Lumpur, Malaysia (CNN) -- New satellite images provided by a French defense firm show 122 objects floating in the southern Indian Ocean, not far from other satellite sightings that could be...
View ArticleCHANGAMKIENI SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA MASHARIKI - KENYATTA
RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akisalimiana na Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji mara...
View ArticleKINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI TEMEKE LEO.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizungumza na Wajasiliamali-VICOBA mbalimbali katika mkutano uliofanyika mapema leo asubuhi ndani ya ukumbi wa Kata ya 15,katika Wilaya ya Temeke.Kinana aliwapongeza...
View ArticleMWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA BW. JOHN TUPPA UNATARAJIA KUAGWA...
KATIBU TAWALA WA MKOA BW. BENEDICTOR OLE KUYAN AKIZUNGUMZA NA WAADISHI WA HABARI MCHAN WA LEO.MWANDISHI WA HABARI WA CHANNEL TEN AUGASTINE MGENDI AKIMUULIZA KATIBU TAWALA SWALI HUKU WAANDISHI...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM(UWT) UBENA ALIYEUMIZWA VIBAYA NA WATU WANAODAIWA KUWA WA...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akizungumza na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na Viongozi wa CUF waliovamia ofisi ya kata kwenye kijiji cha...
View ArticleVYETI FEKI 1,035 VYAKAMATWA KWA WAOMBAJI WA KAZI NCHINI
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Sekretarieti ya Ajira,Riziki Abraham katika Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imekamata vyeti feki 1,035 (sawa na asilimia1.6) ya maombi ya kazi yaliyotumwa...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI AFANYA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier akishuka katika ndege mara baada ya kuwasili nchini katika uwanja wa ndege Terminal I jijini Dar es Salaam Jana.Waziri huyo alikuja...
View ArticleMKUU CHUO CHA GTI, BI. ZUKI MIHYO AFUNGUA MAFUNZO YA JINSIA, DEMOKRASIA NA...
Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (kulia, aliyesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya Jinsia, Demokrasia na Katiba Mpya...
View ArticleKINANA AENDELEA NA ZIARA TEMEKE
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na akihutubia mkutano wa hadhara Kigamboni leoBaadhi ya viongozi kutoka kushoto ni MNEC Phares Magesa, Mwenyekiti wa CCM Kinondoni Madenge, Mbunge wa Temeke Mhe. Mtemvu,...
View ArticlePICHA INATISHA...MASKINI MREMBO HUYU APIGWA NA KUUMIZWA VIBAYA NA BOYFRIEND...
A multimillionaire Russian telecommunications boss, Pavel Usahanov, has gone on the run after beating his model girlfriend up so brutally that she was left looking like a ‘zombie from a horror film;’...
View ArticleMAPENZI BANA...WEMA SEPETU NA DIAMOND WAFANYA KITUKO CHAMWAKA...JIONEE...
Wema baada ya kuhangaika kulitafuta wigi lake, hatimaye akambamba baby wake kalivaa Lol, akampiga picha, akaitupia Instagram na kuisindikiza na maneno haya:
View ArticleWANAKIBINDU WASEMA :CHONDE CHONDE MH.RIDHIWANI UKIPATA UBUNGE ANZA NA...
Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe akizungumza na wananchi wa kijiji cha kwa Msanja kata ya Kibindu katika jimbo la Chalinze wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji...
View ArticleCOCONUT BAND KUSINDIKIZA UZINDUZI WA ZANZIBARLICIOUS WOMEN GROUP IJUMAA HII
ZANZIBAR NI ZAMU YENU SASA KUUNGANA NA WANAWAKE WENZENU WA KUNDI LA ZANZIBALICOUS WOMEN GROUP NA KUSHEHEREKA NAO KATIKA UZINDUZI WA KUNDI LAO KATIKA KUUMALIZIA HUU MWEZI WA SIKU YA MWANAMKE...
View ArticleUONGOZI WA DAMPO WAAGIZWA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Gari la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick likiwasili Dampo kuu la taka la Pugu Kinyamwezi, lililopo maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar alipofanya ziara ya ghafla kwenye dampo hilo.(Picha...
View ArticleSERIKALI YA UJERUMANI KUTUMIA EURO MILIONI 10 KUKARABATI RELI YA KATI
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard Membe na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani nchini, Dkt Frank-Walter Steinmeier wakiwasili kwenye chumba cha mkutano...
View ArticleZIFAHAMU NCHI ZINAZOONGOZA ADHABU YA KUNYONGA DUNIANI.
Ebwana nchi za Iran na Iraq zimeongoza katika kutekeleza adhabu zilizokithiri duniani ambapo mwaka jana asilimia 66 ya adhabu za kunyongwa zilitekelezwa kwenye hizi nchi.Japo kuwa nchi chache sana...
View ArticleANGALIA PICHA MWALIMU ABAMBWA AKIJIUZA,ASEMA MSHAHARA MDOGO,
Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo. Wakati Wakristo bado wapo kwenye Kwaresma, mama aliyejitambulisha kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa laivu akijiuza maeneo ya...
View ArticleUTATA WAZIDI KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA
Ndege ya Malaysia iliyopotea MH370.Machi 8, mwaka huu dunia ilisikia vilio vingi kutoka Beijing, China na Kuala Lumpur, Malaysia. Ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika viwanja vya ndege wakiwalilia...
View Article