Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na akihutubia mkutano wa hadhara Kigamboni leoBaadhi ya viongozi kutoka kushoto ni MNEC Phares Magesa, Mwenyekiti wa CCM Kinondoni Madenge, Mbunge wa Temeke Mhe. Mtemvu, Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema Wakifuatilia kwa karibu maoni ya wananchi kwenye mkutano huo
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema akijibu baadhi ya kero za wananchi katika mkutano wa hadhara↧