Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

DIWANI WA KATA YA IYOGWE GAIRO,CLEMENCE MSULWA AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO.

$
0
0
001Diwani wa Kata ya Iyogwe Wilaya ya Gairo Clemence Msulwa akifungua kikao cha majadiliano ya rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) katika Halmashauri ya Wilaya Gairo, ambapo sheria zilizopishwa katika kikao hicho ni hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, pamoja na sheria ndogo za uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014, (kulia), Mkurugenzi  Mtendaji  Halmashauri ya Gairo, Lameck Masembejo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE -GAIRO MOROGORO002Wajumbe mbalimbali wakipitia vipengele vya rasimu ya sheria ndongo na hati uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.
003Wajumbe mbalimbali wakipitia vipengele vya rasimu ya sheria ndongo na hati uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.004Wajumbe mbalimbali wakipitia vipengele vya rasimu ya sheria ndongo na hati uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.005Wajumbe mbalimbali wakipitia vipengele vya rasimu ya sheria ndongo na hati uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.006Diwani Kata ya Kibedya Wilaya ya Gairo, Graceford Mkunduge akisoma vipengele vya rasimu ya sheria ndongo na hati uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).007Wajumbe wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kupitisha hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, pamoja na sheria ndogo za uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>