Mwanadada Vanessa Cheruto Chettle amabaye alithibitisha kuwa anaishi na HIV na ameshatembea na wanaume wengi bila kutumia kinga wakiwemo watu wenyemajina makubwa nchiniKenya...kama
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangazaji maarufu nchini humo.
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangazaji maarufu nchini humo.
Kwamujibu wa chanzo cha habari hizi (chengwon.com) Vanessa na huyo babu wakizungu mwenye asili ya kiyaudi walikutana kwenye mtandao wakijamii baada ya babu kupitia akaunti yake kuandika anataka kusaidia msichana mwenye HIV.