WANANCHI wenye hasira kali wakazi wa mtaa wa Mtwivila D katika Manispaa ya Iringa wamemuua mtuhumiwa mwingine wa ujambazi aliyetambulika kwa jina la Ayubu Mhema (31) msukuma mkokoteni mkazi wa Wangama mkoani Njombe kwa tuhuma za wizi wa mali za wananchi wa eneo hiloTukio hilo lilitokea leo majira ya saa 3 asubuhi baada ya mtuhumiwa huyo kukamatwa akiwa na nguo zilizojaa ngunia moja ambazo aliziiba katika nyumba ya mkazi mmoja wa eneo hilo baada ya kuvunja mlang
Hapa mwili wa mtuhumiwa huyo ukishushwa kwa ajili ya kuhifadhiwa chumba cha maiti Hospitali ya rufaa ya mkoa wa IringaSOMA ZAIDI |