Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

UJUMBE WA KAMPUNI YA PENSHENI PSPF ULIVYOPOKELEWA UBALOZI WETU DC WASHINGTON/USA.

$
0
0

Ujumbe wa PSPF ukipokea taarifa fupi Ubalozi wa Tanzania Washington D.C. kutoka kwa Bw. Paul Mwafongo (wa kwanza kushoto) ambaye kwa sasa ndiye Kaimu Balozi. Katibu Mkuu - Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi waUmma Bw. George Yambesi, Bw. Peter Ilomo Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Mama Rose Jairo Kaimu Mkurugenzi Idara ya Diaspora.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Manejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi akisaini kitabu cha wageni aliwasili Ubalozini Washington D.C. leo tarehe 6 Desemba 2013
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Bw. Peter Ilomo akisaini kitabu cha wageni aliwasili Ubalozini Washington D.C. leo tarehe 6 Desemba 2013

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>