CWT na Jukwaa la walimu kuitisha maandamano kumpinga Lisu juu Mwl.Nyerere.
Tangu asubuhi leo hii hapa mjini Moshi kumekuwa na maandalizi ya maandamano makubwa yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kumpinga mh. lisu kwa kutoa maneno yasiyo faa zidi ya mwalimu nyerere.