Msanii wa filamu za kibongo Tiko Hassan.
MSANII wa flamu za Kibongo, Tiko Kulungu amewaasa wenzake kuwa waepuke tabia ya kubadili dini kwa kufuata maslahi ya kifedha. Akizungumza na Bongowood pasipo kuwataja majina, Tiko alisema tabia hiyo imekithiri.“Wasibadili tu dini kwa kufuata pesa, kama umeamua kufanya hivyo basi uwe na mapenzi ya dhati kwa mhusika,” alisema Tiko.