Unapenda kuchepuka? Hatukukatazi, lakini tunakupa tahadhari, mchepuko unakuathiri wewe na taifa zima kuanzia sekunde unayoanza, kwa sababu itakupa ugonjwa, utaupeleka nyumbani,
utamwambukiza mwenzako, mtaugua na kufa, mtaiacha yatima familia yenu, mtazalisha watoto wa mitaani, watageuka majambazi na kufanya uhalifu mitaani.↧