Ngozi ni organ.
. Sehemu ya juu ya ngozi, surfaceni bactericidal,
inasaidia kuzuia uzalishaji wa harmful micro-orgnismsPia inasaidia kuzuia ngozi isipokee au isinyonye chembe chembe ambazo si nzuri. Unless surface is broken kwa sababu cell ya ngozi ilivyotengenezwa kwa nje, ni aina Fulani ya kemikali ambayo inatulinda.
Hebu jiulize kwa utendaji kazi wa ngozi yako ulivyo, kemikali unazotumia zinaitendea haki afya yako? Ni haki kuweka nguvu kubwa kwenye surface kuliko ndani.
Vyakula unavyokula je vinakupa virutubisho vinavyoitosheleza ngozi yako?
Ngozi ni organ kubwa katika mwili wa mwanadamu.
1. Inatulinda
2. Ni kifuniko cha mwili,Pamoja na kutulinda na kutufunika, pia ngozi Inatulinda na chembe chembe hatari zitokanazo na mazingira yetu pia na hali ya hewa.
Zingatia: Pamoja na kuwa inauwezo wa kuzuia chembe chembe mbaya, kuna baadhi ya kemikali ambazo haziwezi kuzuiwa na ngozi yenyewe, inakubidi utumie kinga kama gloves na nguo maalum za kukukinga na kemikali hatari
. Sehemu ya juu ya ngozi, surfaceni bactericidal,
inasaidia kuzuia uzalishaji wa harmful micro-orgnismsPia inasaidia kuzuia ngozi isipokee au isinyonye chembe chembe ambazo si nzuri. Unless surface is broken kwa sababu cell ya ngozi ilivyotengenezwa kwa nje, ni aina Fulani ya kemikali ambayo inatulinda.
2. Structure ya ndozi ina mistari mistari ambayo inasaidia kurudisha ngozi kwenye hali yake wakati inapopata majeraha.
3. Ngozi inakupatia waterproot coating ina mafuta ya asili SEBUM ambayo yanalinda ngozi kupoteza vital water na hii inazuia ngozi kuwa kavu,na isizeeke mapema.
4. Ngozi ina pigment ambayo inaitwa melanin Hii inaweza kupokea ultra-violet light. Aina ya mwanga mkali mabo siyo mzuri kwa ngozi.
Heat regulation
1. Mwili wa mwanadamu unahifadhi joto la kawaida ambalo ni 36.8-37C Joto la mwili lina control liwa na kitu kinachoitwa heat loss kwenye ngozi kupitia kutoka jasho. Kama joto la mwili likiongezeka sweat gland inasukuma jasho kuja juu kwenye ngozi. Mwili unapoa kutokana na kule kutoka jasho. Kama mwili unakua na joto sana, kunakua na muongezeko wa mzunguko wa damu unaongezeka zaidi kwenye mishipa ya damu ya kwenye ngozi Blood capillaries in the skin.
2. Kiasi kidogo cha uchafu wa kemikali kama mbolea za chumvi chumvi, maji maji yenye chumvi isiyo nzuri vinaweza kuondolewa kwa kutoka jasho.
Ngozi inaweza kukupa taarifa mara inapopata au kugusana na kitu ambacho kina madhara, kwa kuwasha au kuwa nyekundu . Hii inawezekana tatizo likwa ndani au kwenye surface.
Sensitivity / Hisia
Ngozi ni organ ambayo ina sensory, inahisia wakati inapoguswa, inapopata msukumo, maumivu wakati inapopata joto au kuuungua. Pia inapopata baridi. Hizi hisia zinatambulika kwa kupitia nerves/mishipa na receptors/ au vipokeleo kwenye ngozi.
Nutrition/Virutubisho
1. Ngozi inahifadhi Fat/ Mafuta ambayo yanahifadhi energy, pia inawajibu wa kutengeneza kiwango kikubw cha vitamin D, ambayo inapatika kutokana na utendeji wa kemikali wakati ngozi inapata jua.
Zingatia: Jua hili ni la asubuhi
2. Aina ya vyakula unavyohitaji kuhakikisha kinga yako ya mwili iko imara, na cell za ngozi yako zinaweza kuzaliwa kwa wakati kama inavyotakiwa.
Ngozi ina control mzunguko wa maji maji ya kuilainisha kutoka kwenye deep layers ya ngozi.
Muundo wa ngozi:
· Kama tukiangalia ngozi kwa kutumia Microscope, utaweza kuona layer mbili, The epidermis na dermis. Katika hizi layer mbili kuna moja inafanya kazi kama glue, kuzishikila hizi layer mbili kwa pamoja nah ii inaitwa basement membrace. Na kama epidermis na dermis zikitengana maji maji ya mwili yanachukua nafasi na kutengeneza blister
· Chini ya/ndani epidermis and dermis kuna layer nyingine iko ndani inaitwa subcutaneous layer au Fat layer. Fat layer inabeba cells zinazohifadhi fat. Zinaitwa adipos cells na sehemu laini ambazo ni subcutaneous layer kama vile kuzunguka macho, na sehemu nyingine za mwili.
Fat layer inafanya kazi kama mlinzi
1. Inafanya kazi kama kutengeneza na kiwango cha joto kulingana na mazingira na hali ya hewa.
2. Inafanya kazi kama chanzo cha energy, kama sehemu ya kuhifandhi mafuta.
1. The epidermis ina tengenezwa na layer tano. Ngozi tunayoiona na kuigusa ndio inayolinda ngozi iliyoko ndani, au structure ya ngozi iliyoko ndani ili isipate madhara yatokanayo na mazingira yetu.
2. Kwa kipindi cha wiki nne, cells zinatoka kwenye layer ya chini kuja kwenye layer ya juu ikibadilika muundo wake, mpaka inakufa na kuwa haina kazi tena. Haifanyi kazi.
3. Cell huwa inatengenezwa, ina mature, then inakufa. Hizo ni hatua tatu za msingi sana kuelewa.
Katika hili eneo la The epidermis ndiko utendaji kazi wa kuondoa vitu ambavyo vimeingia kwenye ngozi na havitakiwi kuwepo. West-transport system.
Pia ndiko kunapopatika cell ambazo zinazalisha rangi ya ngozi melanin na hii inahifany ngozi isipat madhara yatokanayo na mwanga makali.
Ngozi nyeusi ina kiwango kikubwa cha melanin ambacho kinaongeza ulinzi wa ngozi isipate madhara kutokana na mwanga mkali ultra violet light) inazuia madhara yasiingie ndani kwenye dermis, inapunguza ngozi kuzeeka mapema.
Na wingi wa melanin yaani ngozi nyeusi, inapunguza urahisi wa kupata cancer ya ngozi.
Rangi ya ngozi inaweza kuongezeka pale ngozi inapopata joto. Hii ni kwa sababu mzunguki wa damu unaongezeaka na kuja karibu na ngozi.
Hii ni ngozi nene, iko chini ya epidermis ambayo ndio ina connective tissue, pia ina structure kama lymphatic system, blood vessels, na nerves hii ni layer nene kuliko The epidermis.
Hebu jiulize kwa utendaji kazi wa ngozi yako ulivyo, kemikali unazotumia zinaitendea haki afya yako? Ni haki kuweka nguvu kubwa kwenye surface kuliko ndani.
Vyakula unavyokula je vinakupa virutubisho vinavyoitosheleza ngozi yako?