@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-UKIMSAMEHE MTU HAINA MAANA NI LAZIMA SASA USHIRIKIANE NAYE NO WAY, UMEMSAMEHE KWA SABABU UMEGUNDUA UPUNGUFU WAKE NA UMEUPIMA UKAONA HUNA UWEZO WA KUENDELEA KUISHI NAO NA SIO LAZIMA,
SO UNAMSAMEHE NA UNAWACHANA NAYE KABISAA!!
- UNAJUA UKIFUATANA NA MJINGA NA WEWE UTAISHIA KUWA MJINGA TU, NA UKIFUATANA NA WENYE AKILI NA WEWE UTAKUWA TU, NACHUKIA SANA MAHUSIANO YA KURUDISHANA NYUMA, MAHUSIANO YA KITUMWA UNAKUWA RAFIKI NA MTU ANAYEKUDHARAU ILA KWA SABABU NI TAJIRI AU ANA UWEZO UNAKUBALI TU KUBURUZWA, UNAKUTA HAWA WADADA BONGO WANAVYOABISHWA NA MABWANA ZAO MATAJIRI KAMA MBWA LAKINI WAMO TU MAANA NI MUHIMU PUBLIC IKAKUONA NA WEWE UMO, LE MBURULAZZZ TOKA WACHANA NA UTUMWA KUWA HURU LIKE ME FREE INDEPENDENT THAT IS WHAT LIFE IS ALL ABOUT, BINAFSI NINA NDUGU KIBAO WENYE UWEZO MKUBWA KULIKO LAKINI CAUSE NAJUA SIO WASTAARABU SIJAWAHI HATA KUWASALIMIA I WAS BORN MASKINI JEURIZZZ U KNOW STAND UP PEOPLE TAFUTA MWENYEWE USISUBIRI VYA WENGINE UTAKUFA KAMA ULIVYO!!, JAMANI MCHANA MWEMA!! - LE BIG SHOW
- You, Amina Marcel Plummer, Dick Mwanga, Godfrey Chibulunje and 26 others like this.
- Tawaa AdamAise hilo nalo neno weny vijisent wanapenda kufanywa mungu watu cha msingi ni kufanya kaz kwa bidii
- Kwame Sap ErpTehetehetehet Le Mutuz Baharia le baharia systeme
- Vicky VenantHaa haa hilo nalo neno kaka angu
- Juma ZuberiThat is true mia
- Shamila IsmailWord.thank u
- Robert Selaselalemutuz baharia nawe maskini? no bhana wewe hauko huko bwana sema umetoa hoja ya msingi
- Ayoub Yusuph-MwanaharakatiLe Mutuz Le baharia massage sent and delivered
- Pokigwe NderimoKaka umenena!
- Alice Ng'ingoWORDS ..... Kaa mbali na mjinga asikuambukize ujinga wake
- Kizito Makoyehahahahah..Le Big Shoo indeed!1 hr·
- Aziza MzeruManeno ya msingi sana yameniingia haswaaa mchana nawe pia1 hr·
- Mercy MfangaNimekukubali kwa hilo!!!
- Rehema MwakaHe he he heee! Kaka willy bhana''' za uso hizooo! Live bila chenga hivyo hivyo!!duuuuh1 hr·
- Rehema MwakaTena naongezea jibu la mjinga ... ni kimyaaa!!! Nawe mchana mwema1 hr·
- Maria B MalongoHilo nalo neno1 hr·
- Lilian Ernestmmmh ngoja nitafakari hii si utani bro