Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

UJUMBE WA SOMO LA MAMBELEZZZ FROM FELIX ONA YALIYOMSIBU LIVE!!

$
0
0


":Nina siku ya nne tangu nifike hapa Tokyo. Baada ya kuwasili hotelini Hali ilibadilika sana. Nikawa najisikia maumivu makali mwilini na homa kali sana.
Nikaenda Hospital, wakanikuta na Dengue fever. Matibabu yake yanahitaji angalau siku 7. Mbaya zaidi sikuwa nimekata Bima ya safari. Kwa hiyo pesa itoke mfukoni. Na gharama za matibabu Japan zipo juu sana ukilinganisha na Bongo.

FUNDISHO: Ni muhimu kukata Bima ya safari unaposafiri nje ya nchi"

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>