Wakatu Mrembo Jokate akipita katika moja ya maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam,
wanafunzi wa chuoni hapo walijikuta wakimtolea jicho na kumshangaa kutokana na kivazi cha mitego alichovaa,
huku mwenyewe akionekana kuwa bize na mambo yake akiwa hajui kinachoendelea